Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,800
- 6,294
- Thread starter
- #61
Tatizo ni kwamba sometimes unafanya biashara na Wazingu online, wengine hawataki hata kusikia Western Union, anakupa option ya kulipa uchague, Paypal au Payoneer?Kwa nini msitumie BankABC wa hapahapa bongo.? Mbona wana hizo huduma zote mnazozisema.?
Kumbuka wenzetu wanajari Sana faragha ya details zao za Ki bank, njia zingine ukimfosi atumie anakuona unataka kumpiga so biashara inakufa.
Hata ukisoma thread inazungumzia juu ya watu wanaouza kazi zao nje, Na Si watu wanaotaka kununua bidhaa nje!