Kuna mbinu mpya ya matapeli kuwalaghai watu inayoitwa 'IMERUKA'

Kama amekosea kutuma arudishe yeye mwenyewe mhamala uliokosewa bila hata kukushirikisha wewe uliyetumiwa.
Naam na ndivyo inavyotakiwa afanye,a report kwa mtandao husika,au arudishe ye mwenyewe,teknolojia inakuwa kwa sana,uwa Kuna utaratibu wakurudisha we mwenyewe ulokosea,!!,makampuni huwa yanatangaza Hilo.
 
mimi sinaga muda wa kuangalia salio, ukituma natoa
Wewe huelewi,

Tapeli anakuwa amekuwahi kuomba Kutoa pesa kupitia ombi la kufanya muamala Kwa mtu aliye mbali, hivyo ombi lake litashufhulikwa kwanza mara tu utapoingiza password Kutoa pesa au kutumia pesa au kuangalia Salio.

Umeambiwa solution ni kuingiza namba ya Siri fake ndio njia pekee ya kucancel ombi la tapeli Kutoa pesa Kwa ac Yako.

Nilichogundua, uelewa Kwa watz wengi ni mdogo.

NB: Ukitumiwa pesa na tapeli, hakikisha unaangalia Salio Kwa password fake, hapo tapeli hatoweza kukuibia, labda akutumie pesa ingine.

Ahsante
 
Ina maana hela yoyote ikiingia unatoa pasipokujua imetoka Kwa nani n.k

Ni vizuri kuongeza umakini wa kutumia mitandao .
 
Naomba ajitokeze hapa mtaalamu wa IT atufafanulie hili,maana wengi tunaona ni kama kiinimacho vile!!,humu kwenye jukwaa hili tunawataalamu wengi wa computer nk.
 
juzi kuna MTU kanitumia buku,nikampigia akasema kakosea nikamwabia aitoe anasema nirudishe nikamwambia sifanyi Nazi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…