Kuna maajabu mengi kuhusu mnyama Paka

Ni wakali sana! Paka akipambana na mbwa, mbwa anasalimu amri
U know no dog dawg!mbwa gani unamzunguzia hapa?wewe unaweza sema hata simba akifungiwa na mbwa ,chui simba atauawa!
Kwa hii mi predator size ina mata in every inch hakuna paka bruce wala mbwa jackie chan bigger and stronger is the game changer!
 
Na kwa kuongezea paka jike akikutana na dume la ngedere lazima paka aliwe K yake
1999e0a08bcf12b0f195c42dd6a44f35.jpg

 
Ni kama kunguru tu nae ni msiri sana katika ngono tofauti na ndege wengine ni ngumu kumuona kunguru akipandana na mwenzake
 
Paka hawafanyi mapenzi bana, wanapandana ili kuzaa sio kupata raha
Duu...ebwana ww unaishi dunia gn?paka wanabadillisha milio ya mahaba hatari...wakati wanafanya mapenzi.. ... Halafu unasema hawapandani kwa raha....tena PAKA WANA MAUNO BALAA....nishaona paka WAMEPAKATANA dume lipo chini JIKE lipo juu.....wanagegedana
 
Mimi nahisi mara 100 nimeona hostel niliyokaa ilikua inapaka kama 50 sheria za nchi haziruhusu kuua viumbe so ni varangati msimu wa mating
Niliwai kusikia watu wanasema ukimuona paka anafanya mapenzi Eti ni mkosi mkubwa sana sasa mimi nimewah kushudia zaid ya mara mbili nilikua napata sana mawazo nimkos waaina gani huu kumbe kuna watu wameona zaid ya mara 50chah nashukuru kuondokana na uwoga ni jambo la kawaida japo ni wasiri sana.
 
mimi juzi usiku nyumbani kwangu nime shuhudia paka wakifanya. na nilijaribu kurekodi kupitia dirishani video haikutoka vizuri.


Myths za mnyama Paka ni nyingi
Kwamfano sijawahi kumwona paka aliyekufa kifo cha kawaida(ukiacha wale wanaogongwa na magari barabarani)

-Nasikia Paka unayemfuga huwa anatoweka tu ghafla baada ya muda Fulani na kwenda "kujifia" huko kusikojulikana

-Vilevile sijawahi kuona Paka wakifanya mapenzi hata gizani tu

Wataalamu waje watufafanulie

Cc MshanaJr
 
Paka anakufa tu kama wanyama wengine, kwanini huwa atuwaoni wakijifia hovyo?
Sababu paka maisha yake hasa mchana ni mnyama wa kujificha na ni mnyama anayependa kupumzika (kulala) sababu kwa siku paka hulala masaa 16, so hata kifo chake humukuta huko huko mafichoni...

Ukisikia paka analia kama mtoto vile, mara nyingi ndio anapandwa hapo... Huwa apandwi kimya kimya
 
yanatmbn kila siku kwenye dar langu hapa home hadi kero halafu, inawezekana yanatoweka hebu tumsake mtoto wa bi nyau, atuambie ya kwao yalienda wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom