Kuna kitu hakiendi sawa: Mkuu anapambana na umma?

Wazee wa kupinga pinga tu, huna jema kwako kila kitu unakiona kibaya, umejaza chuki kifuani mwako, Magu yupo hadi 2025.
 
kinyago tukiweke wenyewe ,kitutishe? najua mahakama imestuka ,bunge nalo limestuka ila upande wa mboga mboga kwa wabunge washaanza kutishwa na kinyago chao.
 
Siku hizi wanatumiliki,utasikia "wananchi wangu". Kama haitoshi sasa wanasema " familia yangu" eti sisi watanzania na wake/waume zao tumekuwa sehemu ya familia ya hawa wanasiasa,Mara utasikia "nikaongee na wanangu" wametufanya watoto wao.

Kweli viongozi wetu wametudharau
Ha ha haaaaaaaa

Hutaki hama nchi mkuu
 
Kuna mambo ambayo yanaonyesha kuna kitu hakiendi sawa lakini kwa hulka zetu za kishabiki na kutofuatilia mambo ya msingi nchi hii hatujakiona.

Kwana maoni yangu mkuu ana tabia ya kutotaka kushindwa kwa kila jambo na ukimkosoa umeharibu maana atafanya zaidi hicho unachomkosoa ili aonekane kashinda.

Alipolalamikiwa mwanzoni style yake ya uongozi hasa kwenye style ya kufukuza watumishi na bomoa bomoa alijibu 'SAA NYINGINE KIKWATAKWATA MAMBO YANAENDA"

Watu walipopiga kelele sana style ya Makonda akiwa DC wa Kinondoni akamteua kuwa mkuu wa mkoa na akasema "MSIYEMTAKA KAJA"

Wabunge wa CCM wamelalamikia ubabe wa serikali na watendaji wake hadi wakatishia kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu akasema "MKIPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE NITARUDISHA JINA LAKE NA MSIPOMPITISHA NITALIVUNJA BUNGE"

Wananchi wamemlalamikia mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kulifedhehesha taifa mbele ya wafadhiri akasema "SINA MPANGO WA KUMTUMBUA BALI KUMPANDISHA CHEO"

Kubwa kuliko zote katika pressure hii ya Makonda na vyeti mkuu amempa 'LIVE COVERAGE YA TV YA TAIFA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA MADARAKANI'

Msipaniki sana haya yote yataisha muda simrefu. Mungu hadhihakiwi
 
The way anavyoenenda na kauli anayotoa ... sijui kama atafikia hayo malengo. Maana anajenga uhasama.. ubaguz.. kati ya wananchi ... akiendelea hiv.. hali hii itakuja kuwa mbaya alaf aanze kuja kulaum mtu fulani

Of course walaumiwa ni Upinzani ngoja tuone wafia chama
 
Kuna mambo ambayo yanaonyesha kuna kitu hakiendi sawa lakini kwa hulka zetu za kishabiki na kutofuatilia mambo ya msingi nchi hii hatujakiona.

Kwana maoni yangu mkuu ana tabia ya kutotaka kushindwa kwa kila jambo na ukimkosoa umeharibu maana atafanya zaidi hicho unachomkosoa ili aonekane kashinda.

Alipolalamikiwa mwanzoni style yake ya uongozi hasa kwenye style ya kufukuza watumishi na bomoa bomoa alijibu 'SAA NYINGINE KIKWATAKWATA MAMBO YANAENDA"

Watu walipopiga kelele sana style ya Makonda akiwa DC wa Kinondoni akamteua kuwa mkuu wa mkoa na akasema "MSIYEMTAKA KAJA"

Wabunge wa CCM wamelalamikia ubabe wa serikali na watendaji wake hadi wakatishia kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu akasema "MKIPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE NITARUDISHA JINA LAKE NA MSIPOMPITISHA NITALIVUNJA BUNGE"

Wananchi wamemlalamikia mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kulifedhehesha taifa mbele ya wafadhiri akasema "SINA MPANGO WA KUMTUMBUA BALI KUMPANDISHA CHEO"

Kubwa kuliko zote katika pressure hii ya Makonda na vyeti mkuu amempa 'LIVE COVERAGE YA TV YA TAIFA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA MADARAKANI'
Mkuu heshima yako na samahani
Hivi unapata wapi muda wa kufuatilia haya mambo?
Uko vizuri mashallah.
 
Siku hizi wanatumiliki,utasikia "wananchi wangu". Kama haitoshi sasa wanasema " familia yangu" eti sisi watanzania na wake/waume zao tumekuwa sehemu ya familia ya hawa wanasiasa,Mara utasikia "nikaongee na wanangu" wametufanya watoto wao.

Kweli viongozi wetu wametudharau

MTU AKISEMA ANAONGEA NA WANA SI KWAMBA KAWAZAA!
Umevuta bange za wapi mshikaji? Kitu ya Tabora au ile poa ya Mufindi?
 
Kuna mambo ambayo yanaonyesha kuna kitu hakiendi sawa lakini kwa hulka zetu za kishabiki na kutofuatilia mambo ya msingi nchi hii hatujakiona.

Kwana maoni yangu mkuu ana tabia ya kutotaka kushindwa kwa kila jambo na ukimkosoa umeharibu maana atafanya zaidi hicho unachomkosoa ili aonekane kashinda.

Alipolalamikiwa mwanzoni style yake ya uongozi hasa kwenye style ya kufukuza watumishi na bomoa bomoa alijibu 'SAA NYINGINE KIKWATAKWATA MAMBO YANAENDA"

Watu walipopiga kelele sana style ya Makonda akiwa DC wa Kinondoni akamteua kuwa mkuu wa mkoa na akasema "MSIYEMTAKA KAJA"

Wabunge wa CCM wamelalamikia ubabe wa serikali na watendaji wake hadi wakatishia kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu akasema "MKIPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE NITARUDISHA JINA LAKE NA MSIPOMPITISHA NITALIVUNJA BUNGE"

Wananchi wamemlalamikia mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kulifedhehesha taifa mbele ya wafadhiri akasema "SINA MPANGO WA KUMTUMBUA BALI KUMPANDISHA CHEO"

Kubwa kuliko zote katika pressure hii ya Makonda na vyeti mkuu amempa 'LIVE COVERAGE YA TV YA TAIFA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA MADARAKANI'
Haya mambo yana mwisho wake Mlishwa fundishwa misamiati km Hajaribiwi mtu,uchochezi,hakuna siasa hadi 2020,Majipu.makaburi mengine matamalizia wengine (Be patient for double standard)
 
Wazee wa kupinga pinga tu, huna jema kwako kila kitu unakiona kibaya, umejaza chuki kifuani mwako, Magu yupo hadi 2025.
Wewee mzee wa ndio ndio tu kila kitu unaona sawaa tu.....shwain ww nani amletee chuki hapa tunajadili juu ya kauli zake ..unaleta ushabiki hapa wakati watu wana discuss vtu ambavo vipo hai kabisa unataka wamsifie
 
Back
Top Bottom