Kuna double standard kwenye 'Utumbuaji Majipu?'

Yeye mwenyewe ndiye alijipa kazi ya kutumbua majipu, kazi ya sisi wengine ni kumuonesha hayo majipu na kumkosoa kama staili anayotumia itasababisha hilo jipu kurudia tena, au pia kumshutumu kama atajifanya kuruka majipu mengine!
 
Ukikuta ufisadi au rushwa unakuta dagaa tu wale papa hawaonekani kwanini?
 
umeshatumbuliwa wewe.

Kuna wengine wanapewa grace period ya siku 7 kurudisha fedHa walizojiatia kwa kukwepa kodi. Waliopitiliza siku 7 mpaka sasa hatujasikia wakimulikwa na kamera za Waandishi wa Habari kama ilivyo kwa wengine na kuswekwa ndani!

Wakati wengine wakitenguliwa vyeo vyao kwa kutotimiza wajibu wao ipasavyo kiukweli ni kwamba Idara zote za Serikali zimeprove failure kama tutafuata Standard ya Magufuli strictly.

Mathalani ajali za barabarani zimezidi sana hasa mwisho wa mwaka lakini hatuoni kama hili ni "jipu" kwa Magufuli! "Jipu" ni wale akina mama wanaolala chini Muhimbili!

Kama Magufuli atataka kutenda haki ashughulikie pia wanasiasa waliowasababisha watendaji chini yao kutotimiza wajibu wao! Ajue kabisa tatizo halikuwa kwa watendaji, bali "wazee wa vimemo" ndo waliotufikisha hapo!
 
Attachments

  • Mwanahalisi.jpg
    Mwanahalisi.jpg
    90.2 KB · Views: 27

Hoja lege lege.. Huna mifano.. Tuambie ni nani na kwa sababu zipi anaoaswa kutumbuliwa
 
Kuna wengine wanapewa grace period ya siku 7 kurudisha fedHa walizojiatia kwa kukwepa kodi. Waliopitiliza siku 7 mpaka sasa hatujasikia wakimulikwa na kamera za Waandishi wa Habari kama ilivyo kwa wengine na kuswekwa ndani!

Wakati wengine wakitenguliwa vyeo vyao kwa kutotimiza wajibu wao ipasavyo kiukweli ni kwamba Idara zote za Serikali zimeprove failure kama tutafuata Standard ya Magufuli strictly.

Mathalani ajali za barabarani zimezidi sana hasa mwisho wa mwaka lakini hatuoni kama hili ni "jipu" kwa Magufuli! "Jipu" ni wale akina mama wanaolala chini Muhimbili!

Kama Magufuli atataka kutenda haki ashughulikie pia wanasiasa waliowasababisha watendaji chini yao kutotimiza wajibu wao! Ajue kabisa tatizo halikuwa kwa watendaji, bali "wazee wa vimemo" ndo waliotufikisha hapo!
Tetesi: - Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.
Magufuli kiboko!.
Any way, Kabudi ni jembe, na Mwakyembe ni mwanahabari.
Jina la Nape limeandikwa kwenye kitabu cha majina ya mashujaa wa taifa hili, na uwaziri sio kitu mbele ya karma!.
Paskali
 
Back
Top Bottom