Kwa Mfano :Kuna wengine wanapewa grace period ya siku 7 kurudisha fedHa walizojiatia kwa kukwepa kodi. Waliopitiliza siku 7 mpaka sasa hatujasikia wakimulikwa na kamera za Waandishi wa Habari kama ilivyo kwa wengine na kuswekwa ndani!
Wakati wengine wakitenguliwa vyeo vyao kwa kutotimiza wajibu wao ipasavyo kiukweli ni kwamba Idara zote za Serikali zimeprove failure kama tutafuata Standard ya Magufuli strictly. Mathalani ajali za barabarani zimezidi sana hasa mwisho wa mwaka lakini hatuoni kama hili ni "jipu" kwa Magufuli! "Jipu" ni wale akina mama wanaolala chini Muhimbili!
Kama Magufuli atataka kutenda haki ashughulikie pia wanasiasa waliowasababisha watendaji chini yao kutotimiza wajibu wao! Ajue kabisa tatizo halikuwa kwa watendaji, bali "wazee wa vimemo" ndo waliotufikisha hapo!
Mnataka kila kitu awafanyie Magufuri nyie mpo vijiweni tu mnavuta bangi
Utawala Wa Visasi
Mimi nilidhani wanasamehewa kumbe wanapewa tu grace period!
Tanzania ni moja ya taifa lenye watu wanaoishi katika msingi wa kulalamika bila hata ya kuutafuta ukweli.
Tafuta kwanza ukweli kabla hujafikiria namna ya kulalamika.
Hatua ya kwanza ya Rais Magufuli ni kutumbua majipu.
Majipu yanazidi kutumbuliwa...
By the way, ukisikia mtu anapiga kelele...
Msha tumbuliwa nini
Kuna wengine wanapewa grace period ya siku 7 kurudisha fedHa walizojiatia kwa kukwepa kodi. Waliopitiliza siku 7 mpaka sasa hatujasikia wakimulikwa na kamera za Waandishi wa Habari kama ilivyo kwa wengine na kuswekwa ndani!
Wakati wengine wakitenguliwa vyeo vyao kwa kutotimiza wajibu wao ipasavyo kiukweli ni kwamba Idara zote za Serikali zimeprove failure kama tutafuata Standard ya Magufuli strictly. Mathalani ajali za barabarani zimezidi sana hasa mwisho wa mwaka lakini hatuoni kama hili ni "jipu" kwa Magufuli! "Jipu" ni wale akina mama wanaolala chini Muhimbili!
Kama Magufuli atataka kutenda haki ashughulikie pia wanasiasa waliowasababisha watendaji chini yao kutotimiza wajibu wao! Ajue kabisa tatizo halikuwa kwa watendaji, bali "wazee wa vimemo" ndo waliotufikisha hapo!
Mimi nilidhani wanasamehewa kumbe wanapewa tu grace period!
Tanzania ni moja ya taifa lenye watu wanaoishi katika msingi wa kulalamika bila hata ya kuutafuta ukweli.
Tafuta kwanza ukweli kabla hujafikiria namna ya kulalamika.
Hatua ya kwanza ya Rais Magufuli ni kutumbua majipu.
Majipu yanazidi kutumbuliwa...
By the way, ukisikia mtu anapiga kelele...
Yale yale ya JK kuwapa "grace period" wezi wa EPA kurudisha fedha za wizi? Tunaomba wadhalilishwe kwa kumulikwa na kamera za waandishi wa habari na kuswekwa ndani kisha wafikishwe mahakamani kama walivyofanyiwa wengine!Hakuna grace period kwa wahalifu