kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,282
- 3,361
Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana.
Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss aliyenifanyia figisu kumbe nae alikuja kupigwa chini baadae,so juzi hapa kwenye kampuni niliyoko wametangaza nafasi flani za seniors, jamaa naona kanicheck kuniomba eti connection,binafsi nimemjibu tu sina connection yoyote aombe tu na amtangulize Mungu mbele ingawa kiuhalisia hiyo nafasi iko na mhindi tayari.
Tusifanyiane roho mbaya kwenye hizi kazi za watu jamani.