miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,050
Achana na mke we mwenzio
Ndio kimtindo nataka piga kote koteNawe haupo tayari kumuacha unataka kotekote
Kweel mkuuMkuu endelea kupiga mzigo,akili yako weka kwa mama mtoto wako
Ahsante mkuuBiblia takatifu inatuonya katika kitabu cha Kutoka 20 kasome ,Mungu anasema USIZINI full stop
Niombee yasitokee hayo mkuuSiku ukichomwa kisu tuletee mrejesho tujue umeshonwa nyuzi ngapi na kidonda kitapona kwa muda gani
Nataka niwe madhubut sasa as menMwanaume unakosaje msimamo aiseeeh aibu sana.
Kweel kabisa nimeamua nimfwate mwenye mtotoFuata unayempenda, mbona ishu ndogo tu hiyo, nani akulazimishe mapenzi ikiwa wewe humpendi, aaaaa bhana weeewee...., mchane makavu kuwa hautaweza kuwa naye kimapenzi na asipoteze muda na wewe
Sasa wataka ushauri wa nini?Ndio kimtindo nataka piga kote kote