Kuna aliyefanikiwa kupata mpenzi aliyetulia love connect?

Wapo waliopata ila hapa ni bahati nasibu sana unaweza kulamba dume au joker, kikubwa ni kuwa makini sana tena sana kwenye mchujo wa hao utakao wapata humu
 
Tangu niweke bandiko mpaka leo sijapata sijapata wakuniliwaza na siku zinazoendelea ndivyo stress zinazidi kunitesa kwenye utawala huu wa Sizonje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom