Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee

Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570

Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
Bro nisaidie namba yake nimpe ushauri wa kina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom