MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 3,584
- 8,881
- Thread starter
-
- #21
Kuchat kiswahili na msichana classic kwenye mahusiano hata hainogi πKwanini lugha adhimu ya kiswahili huwa haina nafasi kwenye huu upuuzi unaoitwa mapenzi?
Ndo maana nmeuliza wengine mnawezaje maana utu tutoto twa elfu mbili dakika moja nyuma dakika moja mbeleMbona uandishi wenyewe wa kitoto na wa kipumbavu sana
"i explained to u toka jana"
"akizan"
Mtu mwenye uandishi kama huu unamwombaje msamaha kama sio kujidhalilisha
For sure leo nmemkosea ndo maana nmediriki hata kumwomba msamaha, yote ni kwa sababu nilikua na mpenzi wangu mwingineUlipatwa na nini hukutokea sehemu mliyokubaliana? Inawezekana lilikuwa jambo genuine kabisa limekufanya usifike.... Hukukumbuka hata kumjulisha kuwa hutaweza kufika!? Je ni mara yako ya kwanza kutokutokea mnapokubaliana? Ukifanyiwa wewe hivi ulivyofanya haina shida hata kidogo? Maana yawezekana yeye pia aliacha mambo ya msingi akaenda mlikokubaliana halafu hujatokea.
Mimi wapenzi wangu wote ni 2002 - 2005 na wote mapenzi yako π₯ tatizo vina gubu hatariUkiweza kukidate na binti aliyezaliwa kuanzia mwaka 2000 na tukamaliza mwaka mzima broo you can rule the world π€£sijui mnanielewa vizuri
Mimi wapenzi wangu wote ni 2002 - 2005 na wote mapenzi yako π₯ tatizo vina gubu hatari
Sina shida ya kuongea navyo vitu vya maana, appointments zakusmash zinatoshaSasa mkuu wa 2005 unaongea nae kitu gani cha maana
Sina shida ya kuongea navyo vitu vya maana, appointments zakusmash zinatosha
Maza kule kijiji umemtumia ngap?Juzi nilimpatia over 200k ya matumizi na leo tena nimtumie zingine? Never
Kutongoza demu kwa kiswahili ni kazi kinoma. Labda utongozee mabeki 3 ila kwa watu wenye exposure ni mtihani.Kwanini lugha adhimu ya kiswahili huwa haina nafasi kwenye huu upuuzi unaoitwa mapenzi?
Huo muda wa kupita nae mtaani natoa wapi π kama wewe ni "Ke" basi utapasua kichwa changu bureAta kusmash bado ni kaz hakuna uhuru unapita nae mtaani unakuwa unajstukia mnyw watu wanauliza hyo mwanaoπ€£
Relax kaka, no need to explain maana hatujuani humu. Kiufupi Iyo ni pesa ndogo sanaMaza kule kijiji umemtumia ngap?
Si mnachunguliana kipimo cha umri mmekifutaImagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi π aisee
Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570
Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
Sio wewe tu bali ni wanaume wengi wa Jeiefu, mimi tu ndo zoba humuSidhani kama kuna mwanamke niliyewahi kumuomba msamaha zaidi ya mama yangu mzazi
Niliwahi kuomba msamaha lakini skuhizi nimekuwa katiliSio wewe tu bali ni wanaume wengi wa Jeiefu, mimi tu ndo zoba humu
mImi hua namtumia dalali ambae hufanikisha misamaha yanguImagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi π aisee
Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570
Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
Kuna mwana jf mwenzetu alileta uzi kiwa alipishana na mpenzi wake mwezi wa August 2024. Na kufikia mwezi October akatangaziwa ndoaFor sure leo nmemkosea ndo maana nmediriki hata kumwomba msamaha, yote ni kwa sababu nilikua na mpenzi wangu mwingine
Ngoja nimuulize manzi yangu kuhusu hadidu za rejea za uhusiano wetuKuchat kiswahili na msichana classic kwenye mahusiano hata hainogi π
Sawasawa2004 na wewe wa 99 wote wale wale