Salaam, Shalom!
Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda,
Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;
1. Tuzichunguze Roho. (1 Yoh 4:1-3).
Verse 1: Wapenzi, msiiamini kila Roho,Bali zijaribuni hizo Roho, kwamba zimetokana na Mungu; Kwa sababu manabii wengi wa uongo wengi wametokea duniani.
2. Wamkirio Yesu, wanatokana na Mungu.(1Yoh 4:2).
Verse 2: Katika hili mwajua Roho wa Mungu; Kila ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja Katika mwili yatokana na Mungu.
3. Wasiomkiri Yesu wanaongozwa na Roho ya mpinga Kristo.(1 John 4:3).
Verse 3. Na Kila Roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.
Na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja;na sasa imekwisha kuwako duniani.
4. Wasiomkiri Yesu ,masikio yao yamezibwa wasiijue kweli.(1 John 4:6).
Verse 6: Sisi twatokana na Mungu, Yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na Roho ya upotevu.
(John 14:6)
Jesus: I'm the only way, thrth and life
Mwisho wa kunukuu,
Sasa unapoteza muda kufunga, huli chakula, hunywi pombe ukiamini unampendeza Mungu ilhali unamkataa Yesu aliye Mungu,njia pekee,kweli na uzima, hii ni hatari.
Hii ni sawa na kumtafuta mfalme usiyemjua jina,
Sasa Mungu ni Mfallme, nawe umefichwa, humjui jina lake ilhali Yesu ambaye ndiye huyo mfalme, unamtukana na kumkana Kila siku, unapoteza muda.
Ikiwa unapenda kuokoa muda, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN