Kumtongoza mwanamke hata kabla hujakubaliwa unaanza kutangaza kuwa ni mpenzi wako, hii imekaaje?

Kama hujakubali mbona ume draw MUAMALA wangu?Kama hujakubali basi kataa na MUAMALA
 
Kwa nini iko hivi? Baadhi ya wanaume anamtongoza mwanamke, anamwambia nakupenda tena kwa kumwandikia tu message kupitia simu. Na mwanamke kwa upande wake hata haja reply chochote kama vile nakupenda pia. Cha kushangaza mwanaume anaanza kutangaza kwa washkaji zake kua oooh huyu shemeji yenu na washkaji nao wanaanza ushemeji shemeji. Kwani hii inamaana gani, au ni kosa kwa mwanamke kua karibu na mwanaume just being a friend?
tatizo hapa naona wewe huwa unakatabia ka ku-mingle na vivulana hasa vya sekondari... kuleta hapa uzi wa kutulalamikia wanaume kwa makosa waliyokufanyia wavulana ni jambo lisilopendeza, you are offending us young lady
 
Kwa nini iko hivi? Baadhi ya wanaume anamtongoza mwanamke, anamwambia nakupenda tena kwa kumwandikia tu message kupitia simu. Na mwanamke kwa upande wake hata haja reply chochote kama vile nakupenda pia. Cha kushangaza mwanaume anaanza kutangaza kwa washkaji zake kua oooh huyu shemeji yenu na washkaji nao wanaanza ushemeji shemeji. Kwani hii inamaana gani, au ni kosa kwa mwanamke kua karibu na mwanaume just being a friend?
Sorry hawa sio wanaume bali ni vijana wa kiume tena umri wa balehe wengi wakiwa ni wanafunzi au jobless
 
Kwa nini iko hivi? Baadhi ya wanaume anamtongoza mwanamke, anamwambia nakupenda tena kwa kumwandikia tu message kupitia simu. Na mwanamke kwa upande wake hata haja reply chochote kama vile nakupenda pia. Cha kushangaza mwanaume anaanza kutangaza kwa washkaji zake kua oooh huyu shemeji yenu na washkaji nao wanaanza ushemeji shemeji. Kwani hii inamaana gani, au ni kosa kwa mwanamke kua karibu na mwanaume just being a friend?
Unaowapata hawana akili
 
Haaaa jamani kwani kwani kuna mwanamke anatongozwa akatae?
 
Back
Top Bottom