Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
- Thread starter
- #181
hahahahaKusahau wakuu ni zoezi gumu zaidi mtihani wa kutafta nafas ya kwenda chuo
hahahahaKusahau wakuu ni zoezi gumu zaidi mtihani wa kutafta nafas ya kwenda chuo
poleaisee hakuna jambo gumu kama kusahau... my current situation.
Yana kwisha sema sasa Sijui yatakwisha lini aiseedaaaaaaah pole sana sipati picha hayo maumivu unayo fill ila piga moyo konde then songa mbele
tusahaulishane basi pliiizzaisee hakuna jambo gumu kama kusahau... my current situation.
hapo kwenye urafiki wa kawaida ndo pagumu maana nahisi ipo siku uzalendo ukakushinda mkakumbushia enzi..Hayo mambo ya kwamba huwezi kumsahau ni sisi wenyewe tunayafanya katika mawazo yetu na matokeo yake yanabadilika na kuwa kweli katika maisha ya kawaida.
Mm kuna mdada nilimpenda sana tulidate takribani miezi sita. Lakini katika muda huo nikawa namchunguza sana. Baadae nikaja kugundua ana wanaume wengine 2 kabla yangu na alikuwa anendelea nao.
Baada ya kuona nimejua ukweli akakubali, nikampa sharti la kuachana nao kama kweli ananipenda. Akakubali lakini kumbe hakuachana nao.
Baadae nikafikia uamuzi wa kuachana naye. Kiukweli ile hali ilinitesa na bahati mbaya tulikuwa tunafanya kazi sehemu moja. Binti alikuwa na umbo zuri na sura yake ya kulipa. Alafu nilipokuwa nikimwangalia jinsi anavyotembea yaani nasikia kama moyo umeshambuliwa. Alikuwa ana sauti fulani nzuri alafu heshima za kufa mtu.
Kwa hiyo kila nlipokuwa namwaza naishia kuumia. Nilikosa hamu ya kula, mambo yangu yakawa hayaendi vizuri, nikakosa raha.
Baadae nikawa na-browse katika mitandao kutafuta suruhisho la kunisaidia kuepukana na hiyo hali, haikuwezekana.
Basi nilichofanya nikaazimia kutowaza jambo lolote jema alilonifanyia. Basi nikawa kila nikimuona ile hali inarudi ila najizuia. Baadae nikawa nikafanikiwa, nikawa nawaza tu mabaya aliyonitendea, na nikajitahidi sana kutafuta negativity zake. Baadae chuki dhidi yake ikainuka. Baadae akaniomba tuyamalize maana alihisi chuki yangu kwake kuwa kubwa. Tukayamaliza ila tukaishia kuwa marafiki wa kawaida na maisha ynaendelea.
Niazime moyo suguKatika vitu nsivyopenda ni kuzungumzia mambo yanayoutesa moyo wangu japo naupongeza kwa usugu ni moyo sugu sana
Mimi mwenyewe nimejitahidi kukaza miaka 2 zaidii lakini nimechemka sijui moyo wangu ukoje unanikera sana niazimeni wa kwenu nitoke utumwani naye ana kama wakwanguGumu Sana. Kupona inachukua mda Sana . Na usipokuwa imara unaweza ukawa mtumwa kwa kujirudisha..... Aseeee.
Mimi mwenyewe nimejitahidi kukaza miaka 2 zaidii lakini nimechemka sijui moyo wangu ukoje unanikera sana niazimeni wa kwenu nitoke utumwani naye ana kama wakwangu
Sasa wakati mwingine unajikuta umezaa nae dhuuuuUkifuta namba yake ya simu na mawasiliano mengine inasaidia kumsahau
mpe baba mwingine uyo mtoto kwisha habar yake.Sasa wakati mwingine unajikuta umezaa nae dhuuuu
Haa haaa watu mna maneno eti Kumwita mkeo shemeji kwa kulazimishwakweli mzee sasa wakati mwingine unakuta mtu uko nae kitaa au ofisi moja .apo si azima uwombe uhamisho
alafu unakuta kapata ka boy palepale ofisini na labda jamaa kakuzidi kacheo anausafiri full maouting yaan andika umeumia mkuuu..
hakuna mtihani mgumu kama mkeo kumwita shemeji asa kwa kulazimishwa
sasa mkuu unafkiri unafanyeje apo?Haa haaa watu mna maneno eti Kumwita mkeo shemeji kwa kulazimishwa
Naona umeamua umpe mkong'oto ex wako kwa hii song ya hustonI'm wiser now
I'm not the foolish person you used to know
So long ago
I'm stronger now
I've learned from my mistakes which way to go
And I should know
I put myself aside to do it your way
But now I need to do it all alone
And I am not afraid to try it on my own
I don't care if I'm right or wrong
I'll live my life the way I feel
No matter what I'll keep it real you know
Time for me to do it on my own
It's over now
I can't go back to living through your eyes
Too many lies
And if you don't know by now
I can't go back to being someone else
Not anymore
I never had a chance to do things my way
So now it's time for me to take control
Oh I start again go back to one
I'm running things my way
Can't stop me now, I've just begun
Don't even think about it
There ain't no way about it
I'm taking names, the ones of mine
Yes I'm gonna take my turn
It's time for me to finally stand alone, stand alone
I am not afraid to try it on my own
And I don't care if I'm right or wrong
I'll live my life the way I feel
No matter what I'm gonna keep it real you know
It's time for me to do it
See I'm not afraid
usijal mkuu tuko pamoja sana umi,mmmmmh! hii post imenipa faraja ahsante mleta uzi, na mie kidogo nimepunguza machungu yangu kwa kusoma comments za watu! JF naipenda sana
kweli kabisaUkitendewa visa unachoka hata umpende kiasi gani atiiii. .
Ukishachoka na ukajua thamani yako, ni rahisi sana kumove on