Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
John Dumelo fever.......
Tabia ya kuinjoi watu hii wala si nzuri..happymsafiMember
Joined: Today
Messages: 9
Likes Received: 1
Trophy Points: 3
Umekuja na ID mpya ili tusijue wewe nani? Sasa kuna haja gani ya kutosema jina lake wakati unatumia fake identification? We mtaje tu kuna wataalamu huku wanaweza kukuunganisha nae ili usilowanishe pichu yako hovyo.
hashtag mtaanzisha humu? sio mtanzania one night stand sitaki nikimpata nikipiga nae picha tu inatoshaMpendwa mtaje jina then wanajf tutaanzisha hashtag kukusaidia..Ukutane nae japo akupe one night stand teh
asa ukijua itakusaidia nini ndo utanipa solution ya tatizo?Kwa siku uwa unabadilisha chupi ngapi ukiwa unacheki movie yake?
Kuna Applications za kwenye simu na kompyuta zinaweza kukutengenezea picha au video ukiwa pamoja naehashtag mtaanzisha humu? sio mtanzania one night stand sitaki nikimpata nikipiga nae picha tu inatosha
we ukoje maswali yakoHappy kwa iyo uwa unakojoa kabisa
kumbe kawaida sipo peke yangu. angalau nimefarijikaKutamani kupo na ni kitu normal na kila mtu ana ugonjwa wakle mfano mm nikikutana na mwanaume msafiiiiii yaan msafii aswaaaa yaani nitakodoa mimacho mpaka atakapoondoka haijalishi ni nani yaan napataka picha nyingi kichwani mia kidogo! So iyo ya kwako haina shida its normal! Ilinitokeaga 2002,2006 nilimpendaga ronaldinho gaucho haijawai tokea si kwa ajiri ya mapenzi ila kiwango chake cha uchezaji mpira! Kila gazeti lenye picha yake nilinunua. Na yale meno yake ila nilimpendaga tu sina sababu! Kombe la dunia lote nilikuwa nafatilia lika match kwa sababu yake! Juzi tu kombe la dunia kocha wa brazil hakumuita kwenye kikosi niliumia na siku ile walivyopigwa magori 8 nililia nikawaza angekuwepo gaucho hali iyo isingetokea! Nampenda huyu kaka akiwa uwanjani sionagi mchezaji yeyote zaidi yake!
we unataka tuianzishe wapi?hashtag mtaanzisha humu? sio mtanzania one night stand sitaki nikimpata nikipiga nae picha tu inatosha
naogopa kumtaja anaeza kutokea mtu ambae ananifahamu ikawa tabuhappymsafiMember
Joined: Today
Messages: 9
Likes Received: 1
Trophy Points: 3
Umekuja na ID mpya ili tusijue wewe nani? Sasa kuna haja gani ya kutosema jina lake wakati unatumia fake identification? We mtaje tu kuna wataalamu huku wanaweza kukuunganisha nae ili usilowanishe pichu yako hovyo.
Italetwa na walio ahidi....Tanzania ya viwanda itafika kweli!
Ulishindwa kujiongeza???Fantasy za wasichana bana..Kuna mmoja Paul walker alivyofakiri eti kakanipigia simu kunipa taarifa huku akilia..Nikaamua nimblock tu
sitaki muanzishe hashtag nataka mnipe njia niondokane na hii haliwe unataka tuianzishe wapi?