Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Mbona kakupa kirahisi hivyo duuuh
Watu papuchi zao wanaziona km mkono tu...muda wowote unampa mtu aushike..
Sijui lengo lke ni nini..huenda akawa ze next wife material...au nae anakudangia tu...
Endelea kumsoma mwema oa...si kila single maza ni kicheche inatokeaga tu bht mbaya akazalishwa
Mbona siku hizi nyapu mtaani ni cheap aisee hautumii hata nguvu nyingi.
 
Habarini ndugu zangu.

Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema.

Mm yalinikuta hivi:

Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu mojawapo n kwasababu mm nilimpenda sana mtoto wake.Kila ninapotoka kazini kurudi home, nakatupia pipi, chips snacks, bigiji, nk. Sasa kakatokea kunipenda sana sana.Kakiona tu gari kanatega njiani. Kuna siku niliwahi kukabeba na kwenda nako misele kidogo.

Basi mama ake (huyo mwalimu) akawa kumbe ananipenda sana,bila mm kujua.Siku moja akanisimamisha na kuniambia :
" Unavyompenda mtoto wangu,hata babake hafikii. Natamani kama ingetokea ukawa baba ake. Lakini ndo hivyo tena".

Mm nilichukulia poa tu, nikendelea na utaratibu wangu uleule wa kumpenda mtoto wake.

Siku nyingine tena akaniambia:
" Tafuta muda twende nikakununulie beer, nimejisikia tu kunywa na wewe". Nikamwambia ningemjibu.

Baada ya kama wiki hivi, tukatoka paleplae mtaani kupata kilaji.Katikati ya unywaji, akaniambia:

"nakupenda sana, naomba leo nikupe raha, please".Nikwambia raha gani?Akasema "tamu...".

Basi bhana,siku hiyohiyo nikajicommit tukafanya mapenzi kiroho safi..

Dah.
Unajisifu kwa upuuzi wa kutembea na mwalimu au mke wa mtu?ulivyofanya sio vizuri na wewe siku ukioa utafanyiwa hayo hayo tu!
 
Inaelekea ndoto yako ya kulala na mwalimu imetimia maana umeosha nyota. Kumbuka kuwa unapofurahia kuwa amekupa, hapo hujapewa kimoja tu huenda ukawa umepewa hata ambacho hukutarajia au kufahamu kama kakupa.
So baada ya miezi kadhaa kapime vvu ndugu yangu kwa maana umefanya mapenzi ukiwa tungi na kwa kuwa hukuwa umepanga ni dhahiri mlifanya mubashara.

Pole sana. Hata maandiko yanasema mshahara wa dhambi ni mauti.
Wacha maneno ya uchochezi,fitina na chuki wewe
 
Kuna single mother kitaa halaf namuelewa kinyama mpaka najiuliza uyo aliyemzalisha kawezaje kumuacha binti kanoga kinyama.....nimenza kutangaza nia ila nishapata kachumbari ya kupitia mtoto naweza kurahisisha mambo...
 
yani mada kama hizi, huwa zinafanya jf naichukia. hivi mada kama hizi tutasonga kweliiiii??
 
Back
Top Bottom