Ungefatilia mtiririko wa post kati yangu mimi na yeye kuanzia mwanzo.Sasa mbona unamtukana mwenzio bila kutafakari ulichoandika? Unadhani Bunge linaongozwa na Speaker? Hiyo ni theory, practical wise, speaker hana chake pale!
Ungefatilia mtiririko wa post kati yangu mimi na yeye kuanzia mwanzo.Sasa mbona unamtukana mwenzio bila kutafakari ulichoandika? Unadhani Bunge linaongozwa na Speaker? Hiyo ni theory, practical wise, speaker hana chake pale!
Ndicho nilichokifanya mkuu, kuna mambo unapenda kuyaona namna yalivyoelezewa kinadharia yatekelezwe kwa vitendo, ila hapa kwetu tz hali ni tofauti!Ungefatilia mtiririko wa post kati yangu mimi na yeye kuanzia mwanzo.
WE MUIMBAJI WA LITANIA HUKUONA SUKARI IMEPANDA BEI HADI 3000 KWA KILO .......
HAKUNA NJAA ILA KUNA UPUNGUFU WA CHAKULA ..AHAAAAA
Aliwahi kuuliza "hizo pesa zinazotekeleza bajeti ya mihimili mingine nani anaezitoa.?" Hii kauli ilifaa kutafutiwa maelezo ya kina kutoka kwa wanasheria na media. Lakini watanzania tulidhani alikuwa anajibiwa akiyeuliza.Yote haya yatendelea mpaka kuwepo na katiba mpya, mathalani nchini Kenya Jaji Mkuu anapatikana kwa kila anaeona anafaa ku-apply na kufanyiwa Interview(tena live in TV). Sisi tuko kwenye mfumo wa KUTEUA wakati tunaambiwa tuna Mihimili mi3 inayojitegemea, sasa mhimili mwingine unateuaje kiongozi wa mhimili mwingine? Maajabu...
Tafuta lugha unayoijua uitumie.
"...Daught.."ndio nini
Eti " ...give to our MR president The.....". WTF is that?
Aliwahi kuuliza "hizo pesa zinazotekeleza bajeti ya mihimili mingine nani anaezitoa.?" Hii kauli ilifaa kutafutiwa maelezo ya kina kutoka kwa wanasheria na media. Lakini watanzania tulidhani alikuwa anajibiwa akiyeuliza.
Ila kwa sasa picha halisi imeanza kuonekana na "mkubwa kuliko wote lazima ajidhihirishe"
Huwa naitamani sana Kenya jinsi wanavyojielewa lunapokuja swala la maslahi ya umma. Ila hapa kwetu elimu ya uraia bado sana na ndio maana hata wananchi, wanahabari na hata wanasheria hawawezi kuhoji.
Mkuu hebu nijibu maswali haya..:Acha Kudanganya waru humu Kenya hakuna masilahi ya umma, kuna masilahi ya mabepari na makabila. Walio nje ya hapo ni kuokota makombo ya nayo dondoshwa kutoka kwenye meza mabepari.
Na washawasha!
Na washawasha!
Mkuu hebu nijibu maswali haya..:
Jaji Mkuu nchini Kenya anapatikana kwa mfuno gan..?
Kwanini migomo ya walimu nchini Kenya huungwa mkono hata na wanafunzi wa vyuo vikuu..?
Kwanini miaka kadhaa hapo nyuma wakenya waliandamana kuelekea ofisi za bunge kupinga hoja ya wabunge kuongezewa posho zao..?
NB: uwezo wa wananchi kuhoji mambo yanayowaathiri ustawi wao n kipimo tosha cha kujielewa. Wenzetu wako mbali tukubali.
Njia ya sasa ni umma, tofauti na bunge na mahakama, kubeba mabango kupinga huu ujinga. Katiba tuliyonayo inatosha kukuta inatuongoza tatizo haiheshimiwi. Tukitunga nyingine hawataiheshimu vilevile.Yote haya yatendelea mpaka kuwepo na katiba mpya, mathalani nchini Kenya Jaji Mkuu anapatikana kwa kila anaeona anafaa ku-apply na kufanyiwa Interview(tena live in TV). Sisi tuko kwenye mfumo wa KUTEUA wakati tunaambiwa tuna Mihimili mi3 inayojitegemea, sasa mhimili mwingine unateuaje kiongozi wa mhimili mwingine? Maajabu...
Hata spika msaidizi alitokea ikuluYote haya yatendelea mpaka kuwepo na katiba mpya, mathalani nchini Kenya Jaji Mkuu anapatikana kwa kila anaeona anafaa ku-apply na kufanyiwa Interview(tena live in TV). Sisi tuko kwenye mfumo wa KUTEUA wakati tunaambiwa tuna Mihimili mi3 inayojitegemea, sasa mhimili mwingine unateuaje kiongozi wa mhimili mwingine? Maajabu...