Kumekucha: Wakili msomi Peter Kibatala na Tundu Lissu kumtetea Ney wa Mitego mahakamani

Hapa lazima nihudhurie mahakani nisikilize jinsi maswali mawakili wa serikali watakayoulizwa siwezi kosa hapo.
Huo wimbo alietajwa ni Kikwete tena kwa mazuri
Watu wamesahau jinsi fasihi inavyowakilishwa mbele ya hadhira.
 
Lissu anapenda sana kutafuta attention kwake wapambanaji ni famous tu mara wema mara Ney wanaharakati wangapi waliosweka lupango mpaka muda huu, Ney is just an artist
 
Nidhamu ya kuinamisha kichwa imepitwa na wakati..watu wachache kama Ney wanaojitokeza ku-dare kuonyesha hisia zao sio wakupuuzwa au kubezwa..ni mwenye akili ndogo kunguni ndie atakae beza..hands up soldier!!
 
Serikali itashindwa kesi mapema kumbukeni "ushahidi wa kuhisihisi tu haukubaliki"

Km ni kusemwa wameimbwa viongozi basi serikali imefeli maana kuna viongozi wa waendesha bodaboda, viongozi wa mateja, viongozi wa mtaa n.k

Pia wakiambiwa wataje mistari yenye kashfa/matusi watashindwa ht kusema maneno hayo yapo mangapi zaidi ya blahblah tu
Hanna kesi pale
 
Siku ukujitambua wala hilo povu halitakutoka
Mnawaponza watoto wa masikini...mnawatumia kwa mambo ya kijinga....mnawasababishia matatizo!sijawah sikia mtoto wa mbowe au vigogo wa chadema wamefanya upuuzi kama aliofanya ney wa mitego!Mungu anawaona!
 
Nimesoma post zenu zote humu.
Bado tunahitaji akili za ziada kujikomboa na ujingaujinga wa uoga kujipendekeza kwa wakuu.
 
Haya mnayoyatetea leo kesho mtatumia wanasheria haohao kuwakandamiza mahakamani!!! Mimi sio nabii ila think big!
Wanaoonekana malaika leo wataonekana mashetani pale tu ahadi zitolewazo itakapo kuwa vigumu kuxitimiza upinzani ukiingia madarakani!!
 
hii serikali mbona inajiaibisha ivo Kwan Msanii akikiuka maadali si Kuna basata ndio kazi yao kushuhulikia ao wasanii

Hapa kazi kweli
 
Polisi wa Tanzania bhana:
1.Video ya uvamiz wa RC wa Dsm katika kituo cha Clouds Media hawakuiona
2. Video ya askari aliyemtishia bunduki Mh. Nape Nauye ilhali akiwa hana silaha na mikono kaweka mfukoni pia hawakuiona
3. Ila wimbo wa Ney wa Mitego wameusikiaa na wameshamkamata....
 
Mnawaponza watoto wa masikini...mnawatumia kwa mambo ya kijinga....mnawasababishia matatizo!sijawah sikia mtoto wa mbowe au vigogo wa chadema wamefanya upuuzi kama aliofanya ney wa mitego!Mungu anawaona!
Kwako mambo ya kijinga ni yapi?! WaTz wawe huru kuwaonyesha watawala mapungufu yao. Na nikuambie hata siku moja watu hawawezi kufanana mawazo .
 
Ney katumia fasihi tu hajataja jina lolote la kiongozi na hakuna neno la kashfa lolote alilolitaja kwenye wimbo wake, anayetakiwa kukamatwa na kushtakiwa ni yule anayejihisi ameimbiwa yeye. Huwezi kumfunga mtu kwa kutoa mawazo yako kichwani na kutafsiri. Labda kama mahakama itathibitisha pasipo na shaka kuwa kiongozi fulani hapendi kushauriwa, au kiongozi fulani ni kweli amepoteza marinda hivyo kuimbwa ni kumdhalilisha, au Bashite wa kolomije ni jina halali kisheria la kiongozi fulani,
Kupoteza Marinda! Nimecheka sana.
 
Hajataja jina lolote inamaana bashite sio jina?
 
Research
Formal work undertaken systematically to increase the stock of knowledge
The Nexus Between Formal Work and Application of Stock of Knowledge
Specific Objectives:
To determine artistic competences that influence application of stock of Knowledge
To identify the influence of entrepreneurial capabilities on application of stock of Knowledge
To examine stimulants that differentiate application of stock of knowledge from non-application of stock of knowledge
 
Back
Top Bottom