MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,604
- 4,909
Kwa mujibu wako au sioUmetumwa na mihemko ya east coast na west cost lakini nakuhakikishia hii ni vita itakayoyumbisha uchumi wa dunia, itaua wamarekani wengi vitani na nyumbani, hasara za milele zitapatikana baada ya nukilia, mataifa kama japan na korea ya kusini huenda yakatoweka kwenye ramani ya dunia, vibaraka wengine kama israel na saudi arabia nao wataipata, na matarajio ya kuibuka taifa jingine kiuchumi ni makubwa. Na hatimaye korea itaendelea kubaki kama ilivyo na trump kutawala awamu moja tu!