Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,819
- 3,645
Movement za national of islam toka miaka ya 1930 ulianzishwa na wallace baadae miaka ya 1950s chini ya kina Malcom x na Elijah ndio ikashika kasi, blacks wengi wakawa wafuasi akiwemo Mohammed Ali na hii ndiyo ilipelekea mpaka malcom x kupigwa risasi.Kwanini late 60 to 90 kulikua na wimbi kubwa la Black people kubadiri kua waislam??
National of islam ilikuwa religious and political movement kwa waafrika tofauti na uislam wa siku zote na ulikuwa haufungamani na uislam moja kwa moja wa waarabu ulikuwa unamafundisho tofauti ulibase kwa watu weusi.
Ukimsoma malcom x utajua mengi kuhusu national of islam na nguvu yake kwa blacks