Kumbukizi: Anna Tibaijuka anasema kupata Katiba Mpya katika Mazingira ya Amani Mtasubiri sana

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,772
56,225
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.

Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.

WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA

Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

View attachment 3276282
Hizi ndio zinaitwa akili chanya
 
Ni kweli, na ndiyo maana CCM wanatumia nguvu zote kuendelea kuwajaza vijana ujinga ili wazidi kuwa wajinga na wao waendelee kutawala, vijana wakiwa upande wako ur safe 100%.

Hao wasanii kujazana pale na kupata tuzo ni moja kati ya janja za CCM
Unless wapinzani hasa CDM kuja na plan B, vingivyo business as usual.

Yule Mzee wa dhihaka anasema ati katiba haileti chakuka mezani bali CCM italeta.
 
Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.

Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.

WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA

Anayo ongea ni sahihi lakini tusiombee tufike huko. Makaburu walibidi wakubali mabadiliko baada yakuona mambo hayaendi tena kila kona nikuviziana ukimuua muafrika wanaululiwa wazungu kumi tena wengine wala si makaburu. Uharibifu wa miundo mbinu uvunjaji washeria ulio pitiliza, ilikuwa kuokota maiti kumi, ishirini mitaani lilikuwa jambo la kawaida. Kenya mauaji yalikuwa maisha ya kawaida watu wameuwawa sana, Na mbaya sana ikifiki,, a hali hiyo vyama vya siasa vinakaa kimya yanakuwa ni makundi yasiyo na viongozi maalumu, Mengine ynakuwa ya Serikali, mengine yanakuwa ya majambazi, mengine yanakuwa ya wanasiasa na mengine yanatokanavmiongoni mwa majeshi yetu. Taifa likifikia hivyo hata hizo mali ambazo mmezichuma mlioko madarakani mnaweza mkazitema. Wakuwapi wakina obote, Idiamini, Mabutu na madikteta wengine yaani mpaka vizazi vyao vimefutika. Najua mpaka sasa nchi yetu ni shwari ila kunaviashiria vya uvunjifu wa amani. Kwa sasa watawala wataona niRaisi kuvinyamazisha kwa Mtutu na vikanyamaza, wakatawala, lakini watawala wajue kutawala kama mseveni au kagame inaitaji moyo sana na umakini wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom