Kumbe Wizkid aliomba pesa nyingi hivi!

Teh teh mbona picha wanatuma tu hata kwa masela kama sisi tusio na uspooni town sembuse hao ma star alafu hela ipo ? Nude pic ni Zuga tu huyo kabla hajombwa atakua ametuma tu ,Gigi money si alipiga picha na lichupi lake likubwa sijui na Tecno kesho yake akatangaza ameliwa na jamaa ,
Hiyo 40m ni kolabo tu bado video Godfather 30M ,acha tu atafunwe hakuna namna
Huyo Giggy mahela ni balaa jingine town aisee....

Ila Linah bwana ake si ana pesa kidogo..Uenda atasimamia show teh
 
Shida ya hii rushwa ya ngono ni kwamba inabidi atoe kwanza Kabla ya kuingia studio hapo sasa ndo kwenye dhuluma manake anaweza akavua halafu jamaa akamdhulumu.Labda anogewe ndo inaweza ikawa pona yake na hapo viuno feni ni muhimu.
Itaweza ifanyike..Ila jamaa asiifanye serious kivile..Na pia kufanya collabo na msanii mkubwa sio guarantee ya kutengeneza hit song..Wimbo unaweza kubuma vilevile..So demu anakuwa amejishusha thamani yake kwa wimbo wa kindezi
 
luga gongana tu aliambia another photo yeye akaelewa zile zingine
 
Hivi hawa wanaijeria mnawababaikia wa nini? Nyimbo zao zenyewe mi naona kituko Tu. Nimemsikia mmoja anaimba,"I give you a passport don't say I don't go". Nikawa najiuliza nani kamwandikia rylics huyu! Umpe passport kwani we uhamiaji
Hahahahaaa wewe jamaa siku zote unakosoa tu!
Sijawahi kukuona ukisifia hata siku 1,unaonekana unajisikia sana huko kitaa kwenu.
 
Huyo Giggy mahela ni balaa jingine town aisee....

Ila Linah bwana ake si ana pesa kidogo..Uenda atasimamia show teh
Kaboom sijui kama umemuelewa Linah amesema anaweza kumvutia yeyote ,na akaja public jamaa kamwomba picha nude huyu anaona sifa kutafunwa na ndio maana katafuta kiki,kwanini hakukaa kimya kama huyo bwana ake angemlipia ,huyo bwana ake atakua tu kama sanamu naye au amemlogwa ??
 
Hahahahaaa wewe jamaa siku zote unakosoa tu!
Sijawahi kukuona ukisifia hata siku 1,unaonekana unajisikia sana huko kitaa kwenu.
Dada Nifah atakua Kabila gani huyu?? Kuna mmoja jana anamisifa kama huyu Kule siasani, jamaa amemponda eti atakua saidia fundi site flani Bunyokwa huko.
 
Dada Nifah atakua Kabila gani huyu?? Kuna mmoja jana anamisifa kama huyu Kule siasani, jamaa amemponda eti atakua saidia fundi site flani Bunyokwa huko.
Hahahahaaa jamaa ana misifa kinoma noma,ila kiboko yake ni nyundo Kipoozeo,umewahi kuona ligi yao?
Kama hujawahi ipo siku nitakuita ucheke
 
Ananikumbusha Lara wa sydeney sheldon's star shine,ilibidi atoe k ili mambo yake yaende sawa,before ten years alikua tycoon wa kutisha pale manhatan
 
Hahahahaaa wewe jamaa siku zote unakosoa tu!
Sijawahi kukuona ukisifia hata siku 1,unaonekana unajisikia sana huko kitaa kwenu.

Ndio maana wakaita opinion, you dumbass. Nimesifia Mara nyingi Tu humu lakini wewe haikuhusu. Halafu huku kitaani kwetu kila mtu Yuko ndani ya chalet kujisikia huko huko uswahilini kwenu
 
Dada Nifah atakua Kabila gani huyu?? Kuna mmoja jana anamisifa kama huyu Kule siasani, jamaa amemponda eti atakua saidia fundi site flani Bunyokwa huko.

Ukiona mtu anauliza kabila ujue huyo wa kuja.
 
Ukiona mtu anauliza kabila ujue huyo wa kuja.
Hiyo maana yake ni kwamba asieuliza Kabila yeye ni wa KWENDA!!! Hongereni wanakwenda. Turudi kwenye mada.. Mtu unapotafuta sifa humu unafaidika nini?? Katafute sifa bank huko utaheshimika Sio hapo JF,
 
Back
Top Bottom