Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,209
- 95,985
Umeacha ushoga?Mwendazake bado anakubutua hata baada ya kufa! Vipi mimba yake hujashusha tu?

Uandikwaji wa kistaha katika biblia huandwikwa kwa namna ya kutokupoteza maana halisi ya Jambo.:- Eg Genesis 4:1.Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God, na hadi mihadhara ya Kiislamu.
Biblia ni kitabu kitakatifu cha dini ya Kikristu, wakati yaliyoandikwa kwenye Bibilia yanatendeka, kuna mengine ni mambo mabaya kabisa hayaandikiki, hivyo kwenye Bibilia yakaandikwa Kwa staha.
Moja ya jambo lililoandikwa Kwa staha kubwa kwenye Bibilia ni kuhusu dhambi ya asili ya Mama yetu Eva kushawishiwa na shetani, lile tunda walilokatazwa na Mungu wasilile, shetani akajigeuza nyoka, akapenya Bustanini, kuna kitu hakisemwi kwenye Bible, lakini kupitia the powers of information powers, sisi baadhi yenu tunazo, hivyo tunauwezo wa kuvijua baadhi ya vitu ambavyo vilitokea na havijasemwa ama havijaandikwa!.
Shetani baada ya kujigeuza nyoka na kupenya Bustanini, si wengi wanafahamu kuwa shetani ni bingwa wa kuji disguise, na anaweza kuji disguise kuwa kiumbe chochote!, na kuna mara kibao shetani ana ji disguise as God, na kufanya ishara na miujiza ili watu wamwamini na kumfuata na kumwabudu, hivyo kuna wengi wanamwabudu shetani disguised as God bila wao kujijua, wakidhani wanamwabudu Mungu wa Kweli!.
Hivyo shetani baada ya kujigeuza nyoka na kufanikiwa kupenya Bustanini, kabla hajamtokea Eva, alijigeuza, ndipo akamtokea Eva, na katika kumshawushi Eva kula lile tunda, shetani alimshawishi sio kwa maneno tuu bali na kwa matendo practically ikiwemo kulishika shika tunda na akalimega na akamegea Eva wakala na baada ya Eva kuonja utamu wa tunda lile, akaenda Kwa Adamu na kumshawishi Adam kwa kumlazimisha na kumfundisha jinsi tunda linavyo megwa, practically nae Adamu akamega, wakaishia usingizini na kuwa wametenda dhambi ya asili, yaani the original sin.
Hivyo dhambi ya asili sio neno mega tunda au kula tunda la mti wa katikati ni tendo la kukatazwa usifanye jambo fulani, wewe ukalifanya hivyo dhambi ya asili ni tendo la tunda kumegwa na kuliwa.
Bible haukusema hilo tendo kwa uwazi kwa lengo la staha, ila tendo lenyewe ni ili binadamu mpya azaliwe ni lazima hiyo dhambi ya asili itendwe na mwanamume na Mwanamke ndipo kiumbe kipya kiumbike!.
Kuna binadamu mmoja tuu, Bikira Maria, yeye ndiye pekee alikingiwa dhambi ya asili kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira bila ile dhambi ya asili kutendwa hivyo mtoto Yesu alizaliwa bila dhambi kutendwa!
Kitendo cha kiongozi mmoja wa dini ya wokovu mwenye wafuasi wengi hapa jijini DAR kusema kilichofanyika ni Uandishi wa habari na kuwa Shetani ni Mwandishi wa habari, hakiwezi kuachwa kipite hivi hivi.
Kwa sasa tuko katika ulimwengu kimtandao, cybe world ambapo kila mwenye access na mtandao, anakuwa ni mtoa habari na msambaza habari, kwa kuweza kupost chochote kwenye mitandao na kikawafikia watu wengi kwa haraka lakini sio wote ni waandishi wa habari. bali sasa kila mtu ni mpashanaji wa habari!.
Kitendo alichokifanya Mtumishi wa Mungu, Boniface Mwamposa kutangaza kuwa shetani alikuwa ni Mwandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia nzima ya habari.
Msikilize hapa
Kitendo hiki cha kusema shetani alikuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden kwenye ile dhambi ya asili ni uandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia yetu nzima ya habari. Shetani hakuwa Mwandishi wa habari, wala kitendo kile cha kumrubuni Eva sio uandishi wa habari ni upashanaji wa habari.
Kufuatia mabaliko ya dunia kuwa ni dunia mtaandao, cyber world sasa kila mtu anaweza kuandika chochote na kusambaza chochote au habari zozote kwenye mitandao na kuonekana kama Mwandishi wa habari, lakini sii Mwandishi wa habari.
Lengo la Mtumishi Mwamposa ni zuri kuhusu waandishi wa habari ni watu muhimu sana, kalamu zetu zikitumika vibaya zinaweza kuleta majanga makubwa, lakini shetani hakuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden sio uandishi wa habari!.
Kufuatia powers alizonazo Mwamposa, kitendo cha kumuita shetani ni Mwandishi wa habari, kutapelekea sisi waandishi kuitwa mashetani, jee sisi waandishi wa habari, na tasnia nzima ya habari, tunakubali kuitwa mashetani, au to demand an apology kutoka kwa Mwamposa kutuomba msamaha kusema shetani alikuwa ni Mwandishi wa habari?
Paskali
Duu umenikumbusha bible knowledge.Ua
Uandikwaji wa kistaha katika biblia huandwikwa kwa namna ya kutokupoteza maana halisi ya Jambo.:- Eg Genesis 4:1.
NLT
Now Adam had sexual relations with his wife, Eve, and she became pregnant. When she gave birth to Cain, she said, “With the Lord’s help, I have produced a man!”
una mapepoHuyo Mwamposa asiwaumize kichwa.. ni nabii wa mchongo jamaa anajihami muda si mwingi mambo yake yatakuwa hadharani
Ameona awandaae kisaikolojia kondoo zake.. kitendo cha kusema shetani alikuwa muandishi wa habari na makondoo yake yakaamini mjiulize ni mambo mangapi anayasema ambayo hayapo kwenye biblia na makondoo yake yakaamini!!
Inasikitisha sana.. na mbaya zaidi nabii akishakuwa fake anajipendekeza kwa serikali ili mapo yakivuja waseme ni kazi ya deep motion
Nimesikitika sana Paskali anapopotosha maandiko ya biblia na kuja na tafsiri yake , hata siku moja tunda walilokatazwa siyo tendo la ndoa.Japo sijasikia hayo maelezo ya Mwamposa,lakini pale bustanini kulikua na "mahojiano" kati shetani na Eva, nafikili hapo ndipo penye msingi wa hoja ya mwamposa kwamba shetani alikua mwandishi wa habari,Mwanzo 3:1,ukianza kusoma hapo shetani alianza kwa kumuhoji hawa kwa swali kwa habari ya matunda ya bustani,..nanyi waandishi si hua mnahoji watu maswali?kwa hiyo inawezekana Mwamposa akawasa sahihi kulingana na kile alichokua anataka kueleza kwa waumini wake.
Pia kuna hoja umezungumza hapo kua wale hawa alifanya tendo la ndoa,hiyo SIO KWELI,kama ni hilo tendo Mungu aliwaruhusu ndio maana akawaambia wakazae waongezeke,maana yake walipewa ruhusa kufanya hilo tendo,Mwanza 2:1 na kuendelea....KOSA LAO ADAMU NA EVA NI KUTOKUTII walichokatazwa na Mungu na ndio maana baada ya pale walifukuzwa bustanini na ule mti wa uzima ukawekewa ulinzi ili wasije wakala tunda la mti wa uzima wakaishi milele.
Umesema dhambi ya asili ni mchakato wa kupata kiumbe kingine; biblia inasema baada ya kuwapulizia pumzi ya uhai akawabariki na kusema "zaeni mkaongezeke". Hebu tuambie process za kuzaa kabla na baada ya hiyo dhambiWanabodi
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God, na hadi mihadhara ya Kiislamu.
Biblia ni kitabu kitakatifu cha dini ya Kikristu, wakati yaliyoandikwa kwenye Bibilia yanatendeka, kuna mengine ni mambo mabaya kabisa hayaandikiki, bila staha hivyo kwenye Bibilia kuna baadhi ya mambo yameandikwa lugha ya picha na tamathali za semi kwa la kuweka staha, moja ya mambo hayo ambayo yameandikwa Kwa staha ni ile dhambi ya asili, the original sin, kumaanisha sisi binadamu asili yetu ni dhambi fulani lazima itendeke ndipo kiumbe kizaliwe. Kwa sisi Wakristu Wakatoliki, dhambi hiyo ya asili huondolewa kwa sacrament ya Ubatizo na mapadri, masista, makasisi wetu na maaskofu wetu hawaruhusiwi kuitenda!.
Moja ya jambo lililoandikwa Kwa staha kubwa kwenye Bibilia ni kuhusu dhambi ya asili, "the original sin" ya Mama yetu Eva kushawishiwa na shetani, ale lile tunda walilokatazwa na Mungu wasilile.
Shetani akajigeuza nyoka, akapenya Bustanini, kuna kitu hakikusemwa kwenye Bible, lakini kupitia the powers of information powers, sisi baadhi yenu tumejaaliwa kuwa nazo, hivyo tunauwezo wa kuvijua baadhi ya vitu ambavyo vilitokea lakini haviku jandikwa ili kutunza staha!.
Shetani baada ya kujigeuza nyoka na kupenya Bustanini, si wengi wanafahamu kuwa shetani ni bingwa wa kuji disguise, na anaweza kuji disguise kuwa kiumbe chochote na hata kuji disguise as God na akaponya watu na kufanya miujiza!, na kuna mara kibao shetani ana ji disguise as God, na kufanya ishara na miujiza ili watu wamwamini na kumfuata na kumwabudu, hivyo kuna wengi wanamwabudu shetani disguised as God bila wao kujijua, wakidhani wanamwabudu Mungu wa Kweli!.
Hivyo shetani baada ya kujigeuza nyoka na kufanikiwa kupenya Bustanini, kabla hajamtokea Eva, alijigeuza, kiumbe kingine, ndipo akamtokea Eva!, na katika kumshawishi Eva kula lile tunda, shetani alimshawishi sio kwa maneno tuu bali na kwa matendo practically ikiwemo kulichuma hilo tunda akalishika na kumuonyesha Eva jinsi tunda linavyomegwa na akamegea Eva na shetani na wakala kwanza tunda na baada ya Eva kuonja utamu wa tunda lile, akaenda Kwa Adamu kumpelekea tunda na kumshawishi Adam kwa kumuonyesha jinsi tunda linavyomegwa na kumlazimisha Adamu kumega practically nae Adamu akamega tunda kisha, wakaishia zao usingizini na kuwa wametenda dhambi ya asili, yaani the original sin!.
Hivyo dhambi ya asili sio neno mega tunda au kula tunda la mti wa katikati ni tendo la kukatazwa usifanye jambo fulani, wewe ukalifanya hivyo dhambi ya asili ni tendo la tunda kumegwa na kuliwa.
Bible haukusema hilo tendo kwa uwazi kwa lengo la staha, ila tendo lenyewe ni ili binadamu mpya azaliwe ni lazima hiyo dhambi ya asili itendwe na mwanamume na Mwanamke ndipo kiumbe kipya kiumbike!.
Kuna binadamu mmoja tuu, Bikira Maria, yeye ndiye pekee alikingiwa dhambi ya asili kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira bila ile dhambi ya asili kutendwa hivyo mtoto Yesu alizaliwa bila dhambi kutendwa!
Kitendo cha kiongozi mmoja wa dini ya wokovu mwenye wafuasi wengi hapa jijini DAR kusema kilichofanyika ni Uandishi wa habari na kuwa Shetani ni Mwandishi wa habari, hakiwezi kuachwa kipite hivi hivi.
Kwa sasa tuko katika ulimwengu kimtandao, cybe world ambapo kila mwenye access na mtandao, anakuwa ni mtoa habari na msambaza habari, kwa kuweza kupost chochote kwenye mitandao na kikawafikia watu wengi kwa haraka lakini sio wote ni waandishi wa habari. bali sasa kila mtu ni mpashanaji wa habari!.
Kitendo alichokifanya Mtumishi wa Mungu, Boniface Mwamposa kutangaza kuwa shetani alikuwa ni Mwandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia nzima ya habari.
Kwa hisani ya mwana jf JanguKamaJangu na Bongo 5 Msikilize hapa
Kitendo hiki cha kusema shetani alikuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden kwenye ile dhambi ya asili ni uandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia yetu nzima ya habari. Shetani hakuwa Mwandishi wa habari, wala kitendo kile cha kumrubuni Eva sio uandishi wa habari ni ulaghai tuu katika upashanaji wa habari.
Kufuatia mabaliko ya dunia kuwa ni dunia mtaandao, cyber world sasa kila mtu anaweza kuandika chochote na kusambaza chochote au habari zozote kwenye mitandao na kuonekana kama Mwandishi wa habari, lakini sii Mwandishi wa habari.
Lengo la Mtumishi Mwamposa ni zuri kuhusu umuhimu wa sisi waandishi wa habari ni watu muhimu sana, Ila pia ni watu hatari Sana, pale kalamu zetu zikitumika vibaya zinaweza kuleta majanga makubwa, lakini shetani hakuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden sio uandishi wa habari!.
Kufuatia powers alizonazo Mwamposa, kitendo cha kumuita shetani ni Mwandishi wa habari, kinaweza kikapelekea sisi waandishi wa habari tukaanza kuitwa mashetani!, jee sisi waandishi wa habari, na tasnia nzima ya habari, tunakubali kuitwa mashetani, na tukanyamaza tuu au to demand an apology kutoka kwa Mwamposa kutuomba radhi waandishi kwa kumsingizia shetani kuwa alikuwa ni Mwandishi wa habari, na chanzo cha dhambi ile ya asili pale Bustanini Eden ni Mwandishi wa habari shetani?.
Paskali
Kwa hio hapa ndugu muandishi unamaanisha kwamba shetani alilala na Eva wakala tunda mujarabu na baada ya kumaliza Eva kuona utamu wa tunda akatoka akaenda kwa Adamu akamuomba ampe na yeye tunda ale yaan alale nae baada ya kulala na shetani, in short shetani ndie alieanza kulala na Eva sio Adamushetani alimshawishi sio kwa maneno tuu bali na kwa matendo practically ikiwemo kulichuma hilo tunda akalishika na kumuonyesha Eva jinsi tunda linavyomegwa na akamegea Eva na shetani na wakala kwanza tunda na baada ya Eva kuonja utamu wa tunda lile, akaenda Kwa Adamu kumpelekea tunda na kumshawishi Adam kwa kumuonyesha jinsi tunda linavyomegwa na kumlazimisha Adamu kumega practically nae Adamu akamega tunda,
Mungu akauliza: Adamu uko wapi?shetani alimshawishi sio kwa maneno tuu bali na kwa matendo practically ikiwemo kulichuma hilo tunda akalishika na kumuonyesha Eva jinsi tunda linavyomegwa na akamegea Eva na shetani na wakala kwanza tunda na baada ya Eva kuonja utamu wa tunda lile, akaenda Kwa Adamu kumpelekea tunda na kumshawishi Adam kwa kumuonyesha jinsi tunda linavyomegwa na kumlazimisha Adamu kumega practically nae Adamu akamega tunda,
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God, na hadi mihadhara ya Kiislamu.
Biblia ni kitabu kitakatifu cha dini ya Kikristu, wakati yaliyoandikwa kwenye Bibilia yanatendeka, kuna mengine ni mambo mabaya kabisa hayaandikiki, bila staha hivyo kwenye Bibilia kuna baadhi ya mambo yameandikwa lugha ya picha na tamathali za semi kwa la kuweka staha, moja ya mambo hayo ambayo yameandikwa Kwa staha ni ile dhambi ya asili, the original sin, kumaanisha sisi binadamu asili yetu ni dhambi fulani lazima itendeke ndipo kiumbe kizaliwe. Kwa sisi Wakristu Wakatoliki, dhambi hiyo ya asili huondolewa kwa sacrament ya Ubatizo na mapadri, masista, makasisi wetu na maaskofu wetu hawaruhusiwi kuitenda!.
Moja ya jambo lililoandikwa Kwa staha kubwa kwenye Bibilia ni kuhusu dhambi ya asili, "the original sin" ya Mama yetu Eva kushawishiwa na shetani, ale lile tunda walilokatazwa na Mungu wasilile.
Shetani akajigeuza nyoka, akapenya Bustanini, kuna kitu hakikusemwa kwenye Bible, lakini kupitia the powers of information powers, sisi baadhi yenu tumejaaliwa kuwa nazo, hivyo tunauwezo wa kuvijua baadhi ya vitu ambavyo vilitokea lakini haviku jandikwa ili kutunza staha!.
Shetani baada ya kujigeuza nyoka na kupenya Bustanini, si wengi wanafahamu kuwa shetani ni bingwa wa kuji disguise, na anaweza kuji disguise kuwa kiumbe chochote na hata kuji disguise as God na akaponya watu na kufanya miujiza!, na kuna mara kibao shetani ana ji disguise as God, na kufanya ishara na miujiza ili watu wamwamini na kumfuata na kumwabudu, hivyo kuna wengi wanamwabudu shetani disguised as God bila wao kujijua, wakidhani wanamwabudu Mungu wa Kweli!.
Hivyo shetani baada ya kujigeuza nyoka na kufanikiwa kupenya Bustanini, kabla hajamtokea Eva, alijigeuza, kiumbe kingine, ndipo akamtokea Eva! na Eva akashituka sana kuona kuna mtu mwingine zaidi ya Adam!, na hapo ndipo ushawishi ukaanza na katika kumshawishi Eva kula lile tunda, shetani alimshawishi sio kwa maneno tuu bali na kwa matendo practically ikiwemo kulichuma hilo tunda akalishika na kumuonyesha Eva jinsi tunda linavyomegwa na akamegea Eva na shetani na wakala kwanza tunda na baada ya Eva kuonja utamu wa tunda lile, akaenda Kwa Adamu kumpelekea tunda na kumshawishi Adam kwa kumuonyesha jinsi tunda linavyomegwa na kumlazimisha Adamu kumega practically nae Adamu akamega tunda kisha, wakaishia zao usingizini na kuwa wametenda dhambi ya asili, yaani the original sin!.
Hivyo dhambi ya asili sio neno mega tunda au kula tunda la mti wa katikati ni tendo la kukatazwa usifanye jambo fulani, wewe ukalifanya hivyo dhambi ya asili ni tendo la tunda kumegwa na kuliwa.
Bible haukusema hilo tendo kwa uwazi kwa lengo la staha, ila tendo lenyewe ni ili binadamu mpya azaliwe ni lazima hiyo dhambi ya asili itendwe na mwanamume na Mwanamke ndipo kiumbe kipya kiumbike!.
Kuna binadamu mmoja tuu, Bikira Maria, yeye ndiye pekee alikingiwa dhambi ya asili kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira bila ile dhambi ya asili kutendwa hivyo mtoto Yesu alizaliwa bila dhambi kutendwa!
Kitendo cha kiongozi mmoja wa dini ya wokovu mwenye wafuasi wengi hapa jijini DAR kusema kilichofanyika ni Uandishi wa habari na kuwa Shetani ni Mwandishi wa habari, hakiwezi kuachwa kipite hivi hivi.
Kwa sasa tuko katika ulimwengu kimtandao, cybe world ambapo kila mwenye access na mtandao, anakuwa ni mtoa habari na msambaza habari, kwa kuweza kupost chochote kwenye mitandao na kikawafikia watu wengi kwa haraka lakini sio wote ni waandishi wa habari. bali sasa kila mtu ni mpashanaji wa habari!.
Kitendo alichokifanya Mtumishi wa Mungu, Boniface Mwamposa kutangaza kuwa shetani alikuwa ni Mwandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia nzima ya habari.
Kwa hisani ya mwana jf JanguKamaJangu na Bongo 5 Msikilize hapa
Kitendo hiki cha kusema shetani alikuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden kwenye ile dhambi ya asili ni uandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia yetu nzima ya habari. Shetani hakuwa Mwandishi wa habari, wala kitendo kile cha kumrubuni Eva sio uandishi wa habari ni ulaghai tuu katika upashanaji wa habari.
Kufuatia mabaliko ya dunia kuwa ni dunia mtaandao, cyber world sasa kila mtu anaweza kuandika chochote na kusambaza chochote au habari zozote kwenye mitandao na kuonekana kama Mwandishi wa habari, lakini sii Mwandishi wa habari.
Lengo la Mtumishi Mwamposa ni zuri kuhusu umuhimu wa sisi waandishi wa habari ni watu muhimu sana, Ila pia ni watu hatari Sana, pale kalamu zetu zikitumika vibaya zinaweza kuleta majanga makubwa, lakini shetani hakuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden sio uandishi wa habari!.
Kufuatia powers alizonazo Mwamposa, kitendo cha kumuita shetani ni Mwandishi wa habari, kinaweza kikapelekea sisi waandishi wa habari tukaanza kuitwa mashetani!, jee sisi waandishi wa habari, na tasnia nzima ya habari, tunakubali kuitwa mashetani, na tukanyamaza tuu au to demand an apology kutoka kwa Mwamposa kutuomba radhi waandishi kwa kumsingizia shetani kuwa alikuwa ni Mwandishi wa habari, na chanzo cha dhambi ile ya asili pale Bustanini Eden ni Mwandishi wa habari shetani?.
Paskali
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God, na hadi mihadhara ya Kiislamu.
Biblia ni kitabu kitakatifu cha dini ya Kikristu, wakati yaliyoandikwa kwenye Bibilia yanatendeka, kuna mengine ni mambo mabaya kabisa hayaandikiki, bila staha hivyo kwenye Bibilia kuna baadhi ya mambo yameandikwa lugha ya picha na tamathali za semi kwa la kuweka staha, moja ya mambo hayo ambayo yameandikwa Kwa staha ni ile dhambi ya asili, the original sin, kumaanisha sisi binadamu asili yetu ni dhambi fulani lazima itendeke ndipo kiumbe kizaliwe. Kwa sisi Wakristu Wakatoliki, dhambi hiyo ya asili huondolewa kwa sacrament ya Ubatizo na mapadri, masista, makasisi wetu na maaskofu wetu hawaruhusiwi kuitenda!.
Moja ya jambo lililoandikwa Kwa staha kubwa kwenye Bibilia ni kuhusu dhambi ya asili, "the original sin" ya Mama yetu Eva kushawishiwa na shetani, ale lile tunda walilokatazwa na Mungu wasilile.
Shetani akajigeuza nyoka, akapenya Bustanini, kuna kitu hakikusemwa kwenye Bible, lakini kupitia the powers of information powers, sisi baadhi yenu tumejaaliwa kuwa nazo, hivyo tunauwezo wa kuvijua baadhi ya vitu ambavyo vilitokea lakini haviku jandikwa ili kutunza staha!.
Shetani baada ya kujigeuza nyoka na kupenya Bustanini, si wengi wanafahamu kuwa shetani ni bingwa wa kuji disguise, na anaweza kuji disguise kuwa kiumbe chochote na hata kuji disguise as God na akaponya watu na kufanya miujiza!, na kuna mara kibao shetani ana ji disguise as God, na kufanya ishara na miujiza ili watu wamwamini na kumfuata na kumwabudu, hivyo kuna wengi wanamwabudu shetani disguised as God bila wao kujijua, wakidhani wanamwabudu Mungu wa Kweli!.
Hivyo shetani baada ya kujigeuza nyoka na kufanikiwa kupenya Bustanini, kabla hajamtokea Eva, alijigeuza, kiumbe kingine, ndipo akamtokea Eva! na Eva akashituka sana kuona kuna mtu mwingine zaidi ya Adam!, na hapo ndipo ushawishi ukaanza na katika kumshawishi Eva kula lile tunda, shetani alimshawishi sio kwa maneno tuu bali na kwa matendo practically ikiwemo kulichuma hilo tunda akalishika na kumuonyesha Eva jinsi tunda linavyomegwa na akamegea Eva na shetani na wakala kwanza tunda na baada ya Eva kuonja utamu wa tunda lile, akaenda Kwa Adamu kumpelekea tunda na kumshawishi Adam kwa kumuonyesha jinsi tunda linavyomegwa na kumlazimisha Adamu kumega practically nae Adamu akamega tunda kisha, wakaishia zao usingizini na kuwa wametenda dhambi ya asili, yaani the original sin!.
Hivyo dhambi ya asili sio neno mega tunda au kula tunda la mti wa katikati ni tendo la kukatazwa usifanye jambo fulani, wewe ukalifanya hivyo dhambi ya asili ni tendo la tunda kumegwa na kuliwa.
Bible haukusema hilo tendo kwa uwazi kwa lengo la staha, ila tendo lenyewe ni ili binadamu mpya azaliwe ni lazima hiyo dhambi ya asili itendwe na mwanamume na Mwanamke ndipo kiumbe kipya kiumbike!.
Kuna binadamu mmoja tuu, Bikira Maria, yeye ndiye pekee alikingiwa dhambi ya asili kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bikira bila ile dhambi ya asili kutendwa hivyo mtoto Yesu alizaliwa bila dhambi kutendwa!
Kitendo cha kiongozi mmoja wa dini ya wokovu mwenye wafuasi wengi hapa jijini DAR kusema kilichofanyika ni Uandishi wa habari na kuwa Shetani ni Mwandishi wa habari, hakiwezi kuachwa kipite hivi hivi.
Kwa sasa tuko katika ulimwengu kimtandao, cybe world ambapo kila mwenye access na mtandao, anakuwa ni mtoa habari na msambaza habari, kwa kuweza kupost chochote kwenye mitandao na kikawafikia watu wengi kwa haraka lakini sio wote ni waandishi wa habari. bali sasa kila mtu ni mpashanaji wa habari!.
Kitendo alichokifanya Mtumishi wa Mungu, Boniface Mwamposa kutangaza kuwa shetani alikuwa ni Mwandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia nzima ya habari.
Kwa hisani ya mwana jf JanguKamaJangu na Bongo 5 Msikilize hapa
Kitendo hiki cha kusema shetani alikuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden kwenye ile dhambi ya asili ni uandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia yetu nzima ya habari. Shetani hakuwa Mwandishi wa habari, wala kitendo kile cha kumrubuni Eva sio uandishi wa habari ni ulaghai tuu katika upashanaji wa habari.
Kufuatia mabaliko ya dunia kuwa ni dunia mtaandao, cyber world sasa kila mtu anaweza kuandika chochote na kusambaza chochote au habari zozote kwenye mitandao na kuonekana kama Mwandishi wa habari, lakini sii Mwandishi wa habari.
Lengo la Mtumishi Mwamposa ni zuri kuhusu umuhimu wa sisi waandishi wa habari ni watu muhimu sana, Ila pia ni watu hatari Sana, pale kalamu zetu zikitumika vibaya zinaweza kuleta majanga makubwa, lakini shetani hakuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden sio uandishi wa habari!.
Kufuatia powers alizonazo Mwamposa, kitendo cha kumuita shetani ni Mwandishi wa habari, kinaweza kikapelekea sisi waandishi wa habari tukaanza kuitwa mashetani!, jee sisi waandishi wa habari, na tasnia nzima ya habari, tunakubali kuitwa mashetani, na tukanyamaza tuu au to demand an apology kutoka kwa Mwamposa kutuomba radhi waandishi kwa kumsingizia shetani kuwa alikuwa ni Mwandishi wa habari, na chanzo cha dhambi ile ya asili pale Bustanini Eden ni Mwandishi wa habari shetani?.
Paskali
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God, na hadi mihadhara ya Kiislamu.
Angalizo za Kiimani Kwa Open Minded na Closed Minded.
Kwenye mambo ya imani, kuna watu wa aina mbili, open minded na closed minded.
Open minded ni wale waumini wanaoamini dini with an open mind, hata akitokea mtu wa imani nyingine kinyume na imani yako, you can listen and try make sense out of it. Hili ndio bandiko Lao.
Lakini kuna closed up people ambao wakiaminishwa dini yao, wao wanaamini ni Mungu mwenyewe, hivyo hata ukiwaambia vitabu vya dini vimeandikwa na binadamu na kuhaririwa, hawawezi kuamini wanaamini ni Mungu ndio kuaandika hivyo ukileta jambo lolote ambalo wao hawalijui, watakuona kama ni una kufuru, watu hawa closed minded naombeni muishie hapa maana huko mbele mtaishia kuumia kiimani, just keep on believing what you believe.
Biblia ni kitabu kitakatifu cha dini ya Kikristu, wakati yaliyoandikwa kwenye Bibilia yanatendeka, kuna mengine ni mambo mabaya kabisa hayaandikiki, bila staha hivyo kwenye Bibilia kuna baadhi ya mambo yameandikwa lugha ya picha na tamathali za semi kwa la kuweka staha, moja ya mambo hayo ambayo yameandikwa Kwa staha ni ile dhambi ya asili, the original sin, kumaanisha sisi binadamu asili yetu ni dhambi fulani lazima itendeke ndipo kiumbe kizaliwe. Kwa sisi Wakristu Wakatoliki, dhambi hiyo ya asili huondolewa kwa sacrament ya Ubatizo na mapadri, masista, makasisi wetu na maaskofu wetu hawaruhusiwi kuitenda!.
Moja ya jambo lililoandikwa Kwa staha kubwa kwenye Bibilia ni kuhusu dhambi ya asili, "the original sin" ya Mama yetu Eva kushawishiwa na shetani, ale lile tunda walilokatazwa na Mungu wasilile.
Shetani akajigeuza nyoka, akapenya Bustanini, kuna kitu hakikusemwa kwenye Bible, lakini kupitia the powers of information powers, sisi baadhi yenu tumejaaliwa kuwa nazo, hivyo tunauwezo wa kuvijua baadhi ya vitu ambavyo vilitokea lakini haviku jandikwa ili kutunza staha!.
Shetani baada ya kujigeuza nyoka na kupenya Bustanini, si wengi wanafahamu kuwa shetani ni bingwa wa kuji disguise, na anaweza kuji disguise kuwa kiumbe chochote na hata kuji disguise as God na akaponya watu na kufanya miujiza!, na kuna mara kibao shetani ana ji disguise as God, na kufanya ishara na miujiza ili watu wamwamini na kumfuata na kumwabudu, hivyo kuna wengi wanamwabudu shetani disguised as God bila wao kujijua, wakidhani wanamwabudu Mungu wa Kweli!.
Hivyo shetani baada ya kujigeuza nyoka na kufanikiwa kupenya Bustanini, kabla hajamtokea Eva, alijigeuza, kiumbe kingine, ndipo akamtokea Eva! na Eva akashituka sana kuona kuna mtu mwingine zaidi ya Adam!, na hapo ndipo ushawishi ukaanza na katika kumshawishi Eva kula lile tunda, shetani alimshawishi sio kwa maneno tuu bali na kwa matendo practically ikiwemo kulichuma hilo tunda akalishika na kumuonyesha Eva jinsi tunda linavyomegwa na akamegea Eva na shetani na wakala kwanza tunda wao Eva na shetani na baada ya Eva kuonja utamu wa lile tunda, ndio sasa akaenda Kwa Adamu kumpelekea tunda na kumshawishi Adam kwa kumuonyesha jinsi tunda linavyomegwa na kumlazimisha Adamu kumega practically nae Adamu akamega tunda kisha, wakaishia zao usingizini, walipoamshwa ndipo wakajishtukia kuwa wako uchi baada ya kujua kazi ya vile viungo vya ule mti wa katikati na kumega tunda, na hapo ndipo ikawa wametenda dhambi ya asili, yaani the original sin!. Na adhabu yako sasa ni kufukuzwa Bustanini na Mwanamke atazaa kwa uchungu kufidia kumshawishi Adamu kumega tunda, hivyo wale wanawake wanaozaa kwa ceaserian by preference ili kukwepa maumivu ni wanatenda dhambi bila kujitambua.
Hivyo dhambi ya asili sio sio mti sio tunda, sio neno "mega tunda" au "kula tunda la mti wa katikati" ni "tendo" la kukatazwa usifanye jambo fulani, wewe ukalifanya hivyo dhambi ya asili ni tendo la tunda kumegwa na kuliwa.
Bible haikusema dhambi ya asili ni tendo, expressly kwa uwazi kwa lengo la staha, ila bible imesema kuhusu dhambi ya asili ni tendo kwa impliedly kuwa kuna tendo fulani lazima litendwe ili mwanamke spate ujauzito ili binadamu mpya azaliwe, tendo hilo ndio dhambi ya asili, ni lazima hiyo dhambi ya asili itendwe na mwanamume na Mwanamke ndipo kiumbe kipya kiumbike!.
Shetani katika kumrubuni Eva, akamwambia wakila tunda, watakuwa na uwezo wa Kimungu wa kuumba viumbe wengine!.
Kuna binadamu mmoja tuu, Bikira Maria, yeye ndiye pekee aliye kingiwa dhambi ya asili kwa kupata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, huku akiwa bado ni bikira bila ile dhambi ya asili kutendwa ya kumegwa kwa tunda, hivyo mtoto Yesu alizaliwa bila dhambi ya asili kutendwa!, na Bikira Maria alisikia dalili ya uchungu lakini alimzaa Yesu bila uchungu, ila baada ya kumzaa Yesu, ndoa yake iliendelea kikawaida na akapata watoto wengine kwa njia ya kawaida.
Kitendo cha kiongozi mmoja wa dini ya wokovu mwenye wafuasi wengi hapa jijini DAR kusema kilichofanyika kule bustani ya Eden ni Uandishi wa habari na kuwa Shetani ni Mwandishi wa habari, hakiwezi kuachwa kipite hivi hivi bila kupingwa.
Kwa sasa tuko katika ulimwengu kimtandao, cyber world ambapo kila mwenye access na mtandao, anakuwa ni mtoa habari na msambaza habari, kwa kuweza kupost chochote kwenye mitandao na kikawafikia watu wengi kwa haraka lakini sio wote ni waandishi wa habari. bali sasa kila mtu ni mpashanaji wa habari!.
Kitendo alichokifanya Mtumishi wa Mungu, Boniface Mwamposa kutangaza kuwa shetani alikuwa ni Mwandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia nzima ya habari.
Kwa hisani ya mwana jf JanguKamaJangu Mtumishi Boniface Mwamposa asema "Shetani alikuwa Mwandishi wa habari"
Kitendo hiki cha kusema shetani alikuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden kwenye ile dhambi ya asili ni uandishi wa habari, sio kututendea haki sisi waandishi wa habari na tasnia yetu nzima ya habari. Shetani hakuwa Mwandishi wa habari, wala kitendo kile cha kumrubuni Eva sio uandishi wa habari ni ulaghai tuu katika upashanaji wa habari.
Kufuatia mabaliko ya dunia kuwa ni dunia mtaandao, cyber world sasa kila mtu anaweza kuandika chochote na kusambaza chochote au habari zozote kwenye mitandao na kuonekana kama Mwandishi wa habari, lakini sii Mwandishi wa habari.
Lengo la Mtumishi Mwamposa ni zuri kuhusu umuhimu wa sisi waandishi wa habari ni watu muhimu sana, Ila pia ni watu hatari Sana, pale kalamu zetu zikitumika vibaya zinaweza kuleta majanga makubwa, lakini shetani hakuwa Mwandishi wa habari na kilichofanyika kwenye bustani ya Eden sio uandishi wa habari!.
Kufuatia powers alizonazo Mwamposa, kitendo cha kumuita shetani ni Mwandishi wa habari, kinaweza kikapelekea sisi waandishi wa habari tukaanza kuitwa mashetani!, jee sisi waandishi wa habari, na tasnia nzima ya habari, tunakubali kuitwa mashetani, na tukanyamaza tuu au to demand an apology kutoka kwa Mwamposa kutuomba radhi waandishi kwa kumsingizia shetani kuwa alikuwa ni Mwandishi wa habari, na chanzo cha dhambi ile ya asili pale Bustanini Eden ni Mwandishi wa habari shetani?.
Paskali
Mwandishi wa habari unapotosha umma namna hii
Kama jambo ulifahamu ni bora kukaa kimya.
Mambo ya imani sio kwa kila mtu kubali yamekupita kushoto
Umeshapotezwa tayariKumbe Eva alianza kuonjeshwa tunda na shetani, hapa ina maana walilishana tunda Eva akalipenda akafurahia, hivyo akaenda tena kwa Adam kumlisha tunda lile lile alilolishana na shetani.
Sasa kwa hali hiyo nikisema wanawake asili yao ni kuchepuka nitakuwa nakosea?
Kila siku mnakimbilia mimba kila mkiambiwa maovu ya yule chizi freshMwendazake bado anakubutua hata baada ya kufa! Vipi mimba yake hujashusha tu?