zinyalulu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 420
- 224
sema tunahangaika maana nchi hii hakuna bidhaa za ccm au la ukawa,hakuna hospitali ya kutibiwa wana ccm au wa ukawa,hakuna nauli ya kulipa wana ccm au wa ukawa kwa hiyo kila tatizo au shida inaytatiza nchi hii ni ya watanzania wote bila kujali itikadi ya vyama vyenu.wekeni utaifa mbele kwa faida ya vizazi vijavyo.Mlimzoea jk, mlipaswa kustaafu nae, hizi ni zama nyingine mkuu, naona mnahangaika kama chura wa snura