Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,727
- 8,989
Uenezi sasa wanipe hiyo Kazi mana kadi yangu ni ya zamani sana.Wakati mwingine waangalie watu nje ya mfumo wa CCM kuna watu wazuri sana wanaweza kupanga na kusimamia mambo shida ya nchi hii ni unafiki tu...Kila mtu muongo anadanganya viongozi nao huingia mkenge.Paul Makonda anazidi kuchanja mbuga
Nampongeza huyu Mwamba, Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ambao ni Geneva ya Africa.
Ila kwa maoni yangu, hii teua, tengua, hamish, na tumbua ya Rais Samia, is not healthy at all!, it's a sign of weakness mahali!.
My honest opinion, CCM haina mtu mwingine yeyote ambaye ni the best kwenye uenezi zaidi ya Makonda!.
Ili Rais Samia afanikiwe, asiwasikilize sana wahafidhina wa CCM, sometimes
wanamuingiza chaka!, kama hili la kumuondoa Makonda kwenye uenezi na kumpelekea RChuga , kiukweli kabisa hapa wahafidhina wa CCM, wamemuingiza Mama chaka.
Japo siungi mkono hizi teua leo badilisha kesho, Waenezi 5, ndani ya miaka 5!
1. Polepole
2. Shaka
3. Mjema
4. Makonda
5. The upcoming one!.
Hi sio picha nzuri!, ila nasisitiza kuna tatizo kidogo mahali Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda tuendelee kumpa muda, ata stabilize.
Hongera Paul Makonda kurudishiwa u RC, very soon itathibitika huyu aliyepo kwenye u RC wa Mkoa wetu hawezi!, soon utarudishwa RC DSM, jiji litanyooka!.
P
Nimeona kampeni huko Twitter ikitahadharisha watu kwenda Arusha kwa shuguli za utalii kisa Makonda sasa hiyo inaweza kuwa na impact mbaya.