kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,337
Historia bwana tamu sana.
Leo wakati natazama vintage mwadada Palki akanirudisha mwaka 2007, ambapo hamas ilishinda uchaguzi na nchi zote zikakataa kutambua serikali yake isipokuwa Turkey na Qatar.
Mwaka 2011, Obama akaomba Qatar iwapatie hamas ruhusa ya kuweka ofisi zao Doha na isaidie mediation.
Sasa Qatar inasema viongozi wa hamas hawako tena Qatar na wamekwenda nchi nyingine, maana lengo lilikuwa negotiation hivyo kwakuwa hakuna mediation hakuna sababu ya kuendelea kuwa hapo.
Huu mgogoro huu una mambo mengi.
Sasa inasemekana wamehamia Turkey.
Qatar wanasema ofisi haijafungwa kabisa ila sasa hakuna yeyote pale.