Kumbe Mademu Wazuri Wanaliwa na Wauza Unga!it's like Fashion.

Wanawake waliofocus na maisha hawana muda wa kujiremba, unamkuta ana ki biashara cha chakula, anatakiwa awahi machinjion kuchukua nyama, anaanza kuchemsha supu saa 11:00 asubuhi, anapika chapati, na vyakula vingine, huo muda wa kusukia Brazilian hair ataupata wapi au kufanya manicure, unaona aibu kutoka nae kwasababu anaonekana bwiga lakini wallet yake ina afya njema.

leo umeongea point, nakupa big up Sky Eclat
 
Unaambiwa kuwa uyaone mwanangu.Na kama mademu wataendelea na shobo za aina hii.Biashara ya unga itakuwa ni vita ngumu mno.
Nimekuja kustuka,Kumbe mademu wazuri mjini na bongo movie karibu wote wanaliwa na wauza sembe.
Ni fashion flan,Kama si mzungu wa unga.Hung'oi totoz za ukweli.Wala zile talk of the town.Badilikeni nyie warembo.Si lazima mliwe na wauza ngada.Wapo vijana wenye noti halali.La sivyo mtasababisha vijana wengi kuingia kwenye ngada.Na kuifanya vita iwe ngumu.Ili nao wawaonje tu!Ni mtazamo.
Hao vijana wenye noti wakwapi....
 
nyie vijana mnababaika sana na mademu wazuri wa kibongo,watawafilisi.Asilimia kubwa hao mademu huwa ni malimbukeni,maskini,njaa,shida zimewaganda km kutu ndo maana wanatafuta wauza unga kwa sababu wauza unga ndo wenye hela za mchezo mchezo na ndo wenye hela za mda wote yani mda wowote akililiwa shida inatatuliwa dkk 0 tu

Jaribuni kutafuta mademu wa ng'ambo mbon wapo wengi humu mjini,hawana njaa za ajabu ajabu ambao hawaulizi hata vocha ya jero,unababaika na demu mzuri wa kibongo wengi wao nyumbani vingunguti,buguruni,tandale,mwananyamala njaa mpk nyweleni kwann wasimegwe na wauza unga
Mkuu tupe ramani na sisi wanaume wa mikoani tuweze changamkia fursa mubashara kama hizo
 
Back
Top Bottom