Kumbe hawara haachiki!!

Kama wako sio mtamu si umfundishe jinsi ya kua na utamu.
Kutoka nje ya ndoa sio busara kabisa.Maradhi ndugu yangu.
 
I agree with domo zege.kama umeshajua unapataje utamu ukiwa na huyo hawara kwa nini usimfundishe huyo wako ukapata raha ile ile au kama vipi halalisha huyo hawara.
Usitengeneze mtandao wa mapenzi, baki na mmoja
 
Kakakiiza hivi wewe unamiaka mingapi lakini?
naona unacheza sana na maisha yako.haya bana
 
Niliachana na smll hse nimejikuta ninaye kwenye mavituzi tena ya moto kuliko yale ya zamani nini jama??naninaye mwingine je nifanyeje??amekuwa mtamu kuliko niliyenaye!!Natumejiiba naye ana wakwake!!Nishahurini nimmwage au niendelezemakamzi kimyakimya??

I am in a same mess... we endelea kukamua, watajipanga wenyewe, kama abiria ndani ya daladala (daladala haijai)...

Ila plz. bora usahau ufunguo wa gari kuliko kusahau kutembea na condom mfukoni!!!
 
Niliachana na smll hse nimejikuta ninaye kwenye mavituzi tena ya moto kuliko yale ya zamani nini jama??naninaye mwingine je nifanyeje??amekuwa mtamu kuliko niliyenaye!!Natumejiiba naye ana wakwake!!Nishahurini nimmwage au niendelezemakamzi kimyakimya??
Braza... hivi shem akileta mada kama yako kutakalika kweli hapo skonga?
 
bora useme ukweli Kaizer, kuliko wengine wanatuongopea tu.ILA mmm ngoja bi mkubwa apite hapa utajuta
 
avatar ya dracula ni komesha toto. network ya mahawara ndo mtandao mathubuti wa kueneza ukimwi!! achana:redfaces: na mahawara
 
mla huliwa pia, hivyo kama unaendelea kula vya wenzio pindi ikifika kwako wala usiulize bali ukae kimyakimya tu maana uliyafnaya pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom