Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,593
- 70,875
Aliyeelewa anieleweshe
Hahahaah ngoja nipite kimyakimyaMkuu ni idara zote kwa kifupi nitaendelea kuenzi mipingo yetu ni hayo tu mkuu
umenikumbusha nikiwa chuo nilikuwa na shoga yangu mtoto wa kishua. Yeye kwao dar ila tulikuwa chuo kimoja mkoani sasa yeye alikuwa kila ijumaa anapanda pipa to dar.Mkuu mchicha na nyama ladha zake ni tofauti eti useme kwakuwa wewe ni vegeterian mchicha unaona kama nyama mmmhhhh
Wewe ni nguli wa utafiti. Huwezi kuchora graph kwa kutumia point moja au mbili maana unaweza conclude kuwa ni straight line wakati ni ni curve. Kukuthibitia kuwa sample yako bado haijakidhi ona hii Kama haya ndio matunda ya uwekezaji haya ngoja tuone mwisho wa pichaJamani hawa watu ni wafupi nje ndani nimeshuhudia Leo hii. Yaliyonisibu sina mengi ya kusema kuna mwingine ana la kuongeza?
Dr ni pm namba yako ninaumwa, nataka ushauriJamani hawa watu ni wafupi nje ndani nimeshuhudia Leo hii. Yaliyonisibu sina mengi ya kusema kuna mwingine ana la kuongeza?
Sema kwanza ulichoona ww.Jamani hawa watu ni wafupi nje ndani nimeshuhudia Leo hii. Yaliyonisibu sina mengi ya kusema kuna mwingine ana la kuongeza?
Hatari kubwa hii, unavuka mipaka wewe?naomba uniunganishe nae na mimi nijaribu kuvuka border
Nna dollar 25 usiku kucha inakulipa hiyo?That is for me to know and you to find out mkuu.
amekuta "kibamia"Binafsi sijakuelewa kwa kweli?
Hebu nieleweshe mama yangu.
Nimechekaaaa! La kuongezea miili yao ya baridiiiii
Pesa wanafika au nako ni wafupiMkuu ni idara zote kwa kifupi nitaendelea kuenzi mipingo yetu ni hayo tu mkuu
Mkuu kwan unauza bei gani kulala?Jamani hawa watu ni wafupi nje ndani nimeshuhudia Leo hii. Yaliyonisibu sina mengi ya kusema kuna mwingine ana la kuongeza?