~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

i hope siku imekuwa more brighter!

Ndo kwanza namaliza hapa.....Nilikuwa nasoma kwa umakini hasa...Jumamosi imeenda murua kabisa...Hapa nasikilizia tu game ya fainali ya UEFA..............Huyu Mjamaika ni kiboko,nadhani hiyo Jumamosi anamaliza kabisa...................Kama Nkwingwa NN vile hahaaaaaaaaaaa
 
View attachment 10238

Baada ya miaka mitatu ya kuwa likizo ya kujitakia kutoka kuandika hadithi za "kusisimua" na kufurahisha za visa mbalimbali vya kimapenzi, vitisho na mapambano ninarudi na kisanga kipya ambacho kinatokea kuelekea Siku Kuu ya Muungano. Ni kisa kinachomhusu Clementina, mke wa Waziri mmoja wa serikali iliyoko madarakani. Ni kisa ambacho kitakujia ndani ya siku tano na ni utangulizi wa kisa changu cha kwanza cha kibiashara (commercial work) ambacho kitapatikana kupitia mtandao huu wa JF peke yake. Shigongo once again has been put on notice!!

NB: Jaribuni kuwaalika watu wengine kusoma hapa ili wajiandikishe JF vile vile, msitume tu kwa watu.. watumieni link.
* * *

Should I,should I not?...
 
Ndo kwanza namaliza hapa.....Nilikuwa nasoma kwa umakini hasa...Jumamosi imeenda murua kabisa...Hapa nasikilizia tu game ya fainali ya UEFA..............Huyu Mjamaika ni kiboko,nadhani hiyo Jumamosi anamaliza kabisa...................Kama Nkwingwa NN vile hahaaaaaaaaaaa

Ooh yeah....Jumamosi ni mauaji tu
 
.... Ngoja tuivuke Ijumaa.

hahahaha wanaume tuwe macho, tusiwatende wake kuepuka balaa.
by the way, ninaliona kosa moja la wanaume ambalo mjamaika feki hakulifanya sana, ni kuweka mavidole kule... bila kuzingatia usafi wa vidole. Mtu ameshika vitu kibao, amesalimiana na watu kibao, ameshika misarafu au noti chafu kibao, bado anatumbukiza vidole kwa mwenzake bila kunawa, na wanawake wenyewe wanaruhusu... hiki ni hatari. Ni somo moja wapo la kujifunza hapa.
 
haahahha.. Mjamaika alitangulia pale...
 
Hii hadithi naisoma with fantasies..Ila nipo slow kuisoma kama nameza vile, ha ha
Asante kwa kutuliza kichwa chini na kuitunga,mjamaica ndo wewe?swali TU jamani MKK?
 
View attachment 10238

baada ya miaka mitatu ya kuwa likizo ya kujitakia kutoka kuandika hadithi za "kusisimua" na kufurahisha za visa mbalimbali vya kimapenzi, vitisho na mapambano ninarudi na kisanga kipya ambacho kinatokea kuelekea siku kuu ya muungano. Ni kisa kinachomhusu clementina, mke wa waziri mmoja wa serikali iliyoko madarakani. Ni kisa ambacho kitakujia ndani ya siku tano na ni utangulizi wa kisa changu cha kwanza cha kibiashara (commercial work) ambacho kitapatikana kupitia mtandao huu wa jf peke yake. Shigongo once again has been put on notice!!

nb: jaribuni kuwaalika watu wengine kusoma hapa ili wajiandikishe jf vile vile, msitume tu kwa watu.. Watumieni link.
* * *

sura ya tano wapi mku mmkj? J'mosi c nd'o jana au??
 
sura ya tano wapi mku mmkj? J'mosi c nd'o jana au??

hahaha wewe hata kula pozi hutaki? unanikumbusha kipindi cha miaka ya 90 mwanzoni nilivyokosa usingizi kwa sababu ya vitabu vya Msiba. Hii hadithi tunaenda kwa pozi mkuu.
 
Mimi ni mpenzi sana wa hadithi za mapenzi...Hadithi hii inanikumbusha visa alivyokuwa akiviandika mwandishi Harold Robins wa Marekani.Akielezea tukio la mapenzi unapata picha kamili ya kilichojiri...alikuwa mwandishi mzuri sana wa novels za ngono na alipata utajiri mkubwa sana japo alikufa akiwa amefilisika.Novels zake au hadithi zake hizo zilIfanywa filamu - mfano Never Love a Stranger, A stone for Danny Fisher, Carpetbaggers, The Betsy na kadhalika.
Namwona Mwanakijiji akiwa bilionea wa kibongo kwa hadithi hii..... kwa sasa huna mpinzani kwa watengeneza hadithi wa filamu Tanzania.Bahati nzuri unayo cast tayari hapa hapa...hivyo kaza uzi.

Mimi nitakusaidia kuandaa script....
 
hahahaha wanaume tuwe macho, tusiwatende wake kuepuka balaa.
by the way, ninaliona kosa moja la wanaume ambalo mjamaika feki hakulifanya sana, ni kuweka mavidole kule... bila kuzingatia usafi wa vidole. Mtu ameshika vitu kibao, amesalimiana na watu kibao, ameshika misarafu au noti chafu kibao, bado anatumbukiza vidole kwa mwenzake bila kunawa, na wanawake wenyewe wanaruhusu... hiki ni hatari. Ni somo moja wapo la kujifunza hapa.

Mmhhh
Hivi hujajua mapenzi ni uchafu??
Kama utajali usafi kwenye mapenzi basi utakosa vingi Lol
 
Back
Top Bottom