Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

Hivi Kama Bi. Mkubwa wako ndo anaishi Kijijini Na anakuuliza mwanangu hivi unasoma Chuo gani huko Japan, unamjibuje!?
Namwambia tulia bi mkubwa hivi ukijitamba kwa shoga zako kuwa mwanao nasoma Japani bado haitoshi tu, jina la chuo la nini sasa?
 
Hehee! sasa swala una-graduate hapo unarudi na cheti chako bongo alafu wanakuuliza umesoma chuo gani.. Sijui utajibuje
 
Umenikumbusha gazeti moja lilikuwa likimuongelea mchezaji aliyeitwa Mbo Mpenza aliyesajiliwa na timu ambayo iliyokuwa na maskani yake hapo Kumamoto.Heading yake ilikuwa hivi "Mbo ndani ya Kumamoto.
 
Back
Top Bottom