Kulipuka kwa Pagers/RadioCalls Lebanon ni pigo kubwa kwa sekta ya uchukuzi na usafirishaji duniani

Kama solar panel nazo zimelipuka Leo kwenye baadhi ya majengo hapo Lebanon itakuaje Kuanzia kesho kwenye vyombo vya usafiri...
Nimeona waziri wa mambo ya ndani ameomba UN kuingilia Kati hapa kuna Hali mbaya sanaa.
Kuanzia kesho wananchi hawatatumia device zao maana Hadi microwave zime-jam yaani kwakifupi kuna taharuki kubwa
Hahaha,
Hapo ndege kama wanazo ndo wataziogopa mazima. MOSAD kiboko
 
Wakati wao waarabu na waajemi wakitaka kujibu wataitisha press conference, wataitaarifu US, yaani wanamuandaa muhusika. Kama hawana uwezo wanatakiwa kukubali tu kuwaacha Israel itambe hapo Middle east.. kushindwa kiungwana ni kushinda.
Kushindwa kiungwana ni kushinda.
 
mi nafikiri wanaowashauri Palestina au wanakosea au kuna watu wanawatumia kwa maslah yao.. ukisikiliza sababu za palestina kuwa na mavita ya mara kwa mara na Israel wanasema wanataka nchi yao.. na hamas wamekwenda mbali zaid hadi kwenye charter kuna maneno ya asema kwa palestina kuwa huru ni mpaka myahudi wa mwisho afe..

Sasa unategemea hapo Israel nae atakuwa na simile.. mbona jordan nao ilikuwa sehem ya palestina hiyo iliogawanywa wao wakaona sio issue eneo kubwa hili tunaweza kuish wote..

Sasa hv miaka nenda rudi wanaishi na kushirkiana kibiashara na israel.. sasa huku pande mwingine wanataka Israel iondoke tena sio iondoke wafe wote.

Ndio maana israel nae akasema kukiwa na palestina huru uwepo wa Israel uko mashakan maana wataangamizwa.. so nao wanafanya juu chini kufanya palestina waishi kama wakimbizi..

Sababu ni maapizo ya wapelistina waliojiapiza..rejea kwa Ideology charter ya Hamas. wapalestina waamke waache kutumika na Persians..

Kila miongo kadhaa wanarudishwa nyuma we angalia sasa hv nguvu kaz ya gaza yote imeondoka hata kama kukatokea suluhu maana yake palestina wanaanza upya.. itawachukua 20 years kufika hapa walipo wakat huo tayar Israel anapiga gape lingine..


1726749571000.jpeg


Hii ndio ideology ya HAMAS sasa unategeme kuna suluhu hapa, we jiran yako Ideology yake inayomuongoza ni kukuangamiza
 
tunasema unashughulikiwa kimyakimya
-Kifo Cha Rais wa Iran na waziri wa mambo ya nje
-Kifo Cha Haniyeh ndani ya nchi ya Iran
-Shambulio la kulipuka kwa vilipuzi ,
Haya matukio yote ni matokeo ya operation za kijasusi za Israel na kamwe huwezi sikia wanaongelea.
 
Back
Top Bottom