matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,915
- 19,177
Huwa naamini smarphone ni kama bomu tu, hao wazungu wanaweza kutrigger hiyo lithium battery na kukulipua muda wowote kama wanashida na wewe. Hata Hesbullah walijua hilo wakabuni kutumia simu za kizamani Pagers. Ingawa ni za kizamani lakini marekani kuna watu zaidi ya Millioni 2 wanazitumia. Hasa sekta ya afya.
Nimesoma mahala huko lebanoni, Iphone machomatatu moja imelikupa, Radio Calls za kampuni ya kijapan (Icom) zimelipuka na kuua. Pagers hizo kutoka Hungary ndio habari inayosambaa duniani.
Kwa taarifa zisizo rasmi wanadai inawezekana zilibadilishwa kinamna na majasusi wa Israel na kupandikiziwa vilipuzi. Hii ni kawaida miaka ya 70 hadi sabuni za hotelini ulaya ziliwekewa vilipuzi na majasusi wakiwawinda wabaya wao.
Wengine wanasema Israel imehack hivyo vifaa na kuvilipua kwa msaada wa materials yaliyotumika kutengenezea vifaa hivyo.
Pamoja na Yote, Israel kama kawaida yqke haijasema chochote na sitegemei iseme chochote. Matukio haya yatabaki kama hitilafu za kiufundi kwa vifaa vya hesbullah na ndugu zao.
Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/shambulio-linalosadikiwa-kufanywa-na-israel-dhidi-ya-magaidi-wa-hezbullah-kwa-kupitia-pagers-lathibitisha-akili-kubwa-ya-myahudi.2257919/
ISHU YANGU
Kama makontena ya Redio/Simu/Pagers yamesafiri kwa ndege kutoka Korea Au Hungary au Japan hadi kufika huko. Kote ndge zilikopita watu wa CIVIL AVIATION huwa wanamitambo mikubwa ya kisasa kugundua milipuko lakini haikujulikana. Je hatuoni kwamba sasa hii elimu iliyotumika ikitua mikononi mwa watu wenye nia ovu dunia haitakuwa salama.?
Mtu anaweza kuwa anapokea simu kumbe sio simu aliuziwa bomu.
Wale mnaopenda vitonga, kumbe pagers na simu za hesbullah zimeibiwa kimagendo na kuuzwa mitaani kwa kudanganywa ni used za dubai, zinakulipua na kupasua nusu fuvu.
Wale wa makampuni ya ulinzi wanaotumia radio calls kama hizo ICoM au Motorola, kama hazijatoka sehemu salama zinaweza kugeuka mabomu.
Kimsingi nimejifunza. Duniani tujifunze kunyooka. Hakuna aliye salama, chagua kuwa mwema tu. Leo Hesbullah wote wakiitana kwenye radio wanazikimbia. Simu zikiita wanazitupa. Hakuna aliye salama duniani. Kuwa mwema fanya yanayokuhusu kwa nia njema hata yakikupata isiwe kwa sababu ya kujiingiza kwenye migogoro hasi na wenye uwezo.
Ni hayo tu.