Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,112
Nashauri, Gazeti la Uhuru wangeunganisha na TBC tu viwe chini ya taasisi moja
Hilo gazeti ukifungiwa nalo vitumbua kesho yake unaamkia kwenye wodi ya kipindupinduHakuna watu wa biashara pale Habari ni Biashara We Umeiacha habari ya Bashe Leo utauza Gazeti CCM yenyewe inatakiwa ifukuze hao watu Gazeti linajiendesha Kihasara kumbuka lenyewe halimo katika bili za Yale Magazeti yanayotawanywa Ofisini pia.
Kumbe huwa unasoma gazeti la Uhuru?
Usikariri!,.Magezeti karibu yote ya siku ya leo tarehe 11/04/2017 katika kurasa za mbele yametawaliwa na habari kuu mbili ambazo ni kuhusu tishio la kutekwa kwa wabunge 11 na habari ya kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.
Hata hivyo,katika magazeti yote ya kila siku niliyoyaona ni gazeti la Uhuru tu ndio ambalo halijaripoti habari yoyote kati ya hizo habari kuu mbili za leo.
Sasa sijui pamoja na uwepo wa Waziri wa Habari na Utamaduni uwepo huo nao bado si issue!
Anyway,wanajua wenyewe.
Kingine nilichogundua ni picha ya waziri Mwakyemba na hata alichokisema kupotezewa na magazei mengi katika kurasa hizo za mbele isipokuwa gazeti la Majira tu ndio limeonyesha uwepo wake katika magazeti niliyoyaona.
Mkuu upo sahihi kabisa na wala sipingani na wewe! Ila ukweli lazima usemwe kwasababu hilo gazeti wanatumia kodi zetu kuliendesha na kulipana mishahara sasa kama linakuwa halina tija ni bora wakalifutia mbali.
Natafuta heko mikoani silioni!Hilo gazeti leo haliuziki.