Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,482
- 6,358
Is that the way to fight? I doubt....he is losing the battle....he is fighting an individualKwa mchungaji tena askofu kutajwa kama drug dealer lazima uchanganyikiwe, kama ni kweli utatulia lakini kama sio ni lazima upigane kufa na kupona kuithibitishia jamii kuwa aliyekutaja alikosea na ionekane alikosea kweli!