Usicho kijua kuna kujiuzulu kwa hiyariNg'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria, kanuni na taratibu za kikatiba zilizopo.
Ni muhimu zaidi kutafuta majawabu muafaka ya changamoto zinazoibuka na kuamsha hisia miongoni mwa jamii. Ni jambo la maanaa zaidi kusimama kidete, kusimama imara na kutafuta suluhu za kudumu kwa ufanisi unaostahili, kwa changamoto yoyote inayoibuka kwasababu, huo ni miongoni mwa wajibu wako wa msingi na ndiyo maana umepewa dhamana hiyo.
Hukupewa nafasi hiyo ili ujiuzilu likitokea changamoto. Na ikiwa hivyo watajiuzulu wangapi sasa?
Usidanganyike, chapa kazi bila kujali nani anakupenda au anakuchukia. Hilo ni jambo binafsi.
Jukumu la kuleta mageuzi, mabadiliko, na kutatua changamoto na kuongeza ufanisi katika utendaji wa taasisi au mamlaka ulopewa ni lako, kua mbunifu, onyesha njia.
Hakuna haja ya kuiga vitu ambavyo havina maana yoyote, eti kwasababu fulani na fulani waliowahi kujiuzulu, wakati huenda walioshindwa kazi, hawakua tena na fikra mpya wala mawazo mbdala ya kuongoza na kusimamia dhamana walizipewa.
Kujiuzulu ni kukimbia tatizo, kujiuzulu ni kushindwa kazi, kujiuzulu ni udhaifu na unyonge katika kupambana. Hapana kufanya kosa hilo la kukata tamaa unapokutana na changamoto nzito hata katika maisha ya kawaida tu. Mpaka kieleweke.
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa mla rushwa au fisadi ma mali ya uma ni sawa kabisa gentleman πUsicho kijua kuna kujiuzulu kwa hiyari
Na kujiuzulu kwa lazima , sasa hii kwa lazima huwa haikwepeki na haina mjadala hata kidogo na hasa ukiangalia nguvu ya anaye kutaka uachie ngazi.
#mungu ibariki tanzania
Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria, kanuni na taratibu za kikatiba zilizopo.
Ni muhimu zaidi kutafuta majawabu muafaka ya changamoto zinazoibuka na kuamsha hisia miongoni mwa jamii. Ni jambo la maanaa zaidi kusimama kidete, kusimama imara na kutafuta suluhu za kudumu kwa ufanisi unaostahili, kwa changamoto yoyote inayoibuka kwasababu, huo ni miongoni mwa wajibu wako wa msingi na ndiyo maana umepewa dhamana hiyo.
Hukupewa nafasi hiyo ili ujiuzilu likitokea changamoto. Na ikiwa hivyo watajiuzulu wangapi sasa?
Usidanganyike, chapa kazi bila kujali nani anakupenda au anakuchukia. Hilo ni jambo binafsi.
Jukumu la kuleta mageuzi, mabadiliko, na kutatua changamoto na kuongeza ufanisi katika utendaji wa taasisi au mamlaka ulopewa ni lako, kua mbunifu, onyesha njia.
Hakuna haja ya kuiga vitu ambavyo havina maana yoyote, eti kwasababu fulani na fulani waliowahi kujiuzulu, wakati huenda walioshindwa kazi, hawakua tena na fikra mpya wala mawazo mbdala ya kuongoza na kusimamia dhamana walizipewa.
Kujiuzulu ni kukimbia tatizo, kujiuzulu ni kushindwa kazi, kujiuzulu ni udhaifu na unyonge katika kupambana. Hapana kufanya kosa hilo la kukata tamaa unapokutana na changamoto nzito hata katika maisha ya kawaida tu. Mpaka kieleweke.
Mungu Ibariki Tanzania
wanaoweza kufitinika ni washirikina pekeyake, ambao ndio hawa hawa wakiitisha maandamano wanasalitiana hawajitokezi, lakini ndio hao wapiga ramli, ambao pia wanatoana kafara na kuwafanya vijana wao misukule halafu wanasingizia wengine , yaani ni vulu vululu tu..Ooh... Ufalme umeshaanza kufitinika.
Kweli yajayo yanaburudisha
vizuri kwa ushauri, lakini inategemeana na changamoto zinazokukabili. kwasababu kupewa dhamana ya uongozi sio chanzo cha kudharaulika na kushushwaNg'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria, kanuni na taratibu za kikatiba zilizopo.
Ni muhimu zaidi kutafuta majawabu muafaka ya changamoto zinazoibuka na kuamsha hisia miongoni mwa jamii. Ni jambo la maanaa zaidi kusimama kidete, kusimama imara na kutafuta suluhu za kudumu kwa ufanisi unaostahili, kwa changamoto yoyote inayoibuka kwasababu, huo ni miongoni mwa wajibu wako wa msingi na ndiyo maana umepewa dhamana hiyo.
Hukupewa nafasi hiyo ili ujiuzilu likitokea changamoto. Na ikiwa hivyo watajiuzulu wangapi sasa?
Usidanganyike, chapa kazi bila kujali nani anakupenda au anakuchukia. Hilo ni jambo binafsi.
Jukumu la kuleta mageuzi, mabadiliko, na kutatua changamoto na kuongeza ufanisi katika utendaji wa taasisi au mamlaka ulopewa ni lako, kua mbunifu, onyesha njia.
Hakuna haja ya kuiga vitu ambavyo havina maana yoyote, eti kwasababu fulani na fulani waliowahi kujiuzulu, wakati huenda walioshindwa kazi, hawakua tena na fikra mpya wala mawazo mbdala ya kuongoza na kusimamia dhamana walizipewa.
Kujiuzulu ni kukimbia tatizo, kujiuzulu ni kushindwa kazi, kujiuzulu ni udhaifu na unyonge katika kupambana. Hapana kufanya kosa hilo la kukata tamaa unapokutana na changamoto nzito hata katika maisha ya kawaida tu. Mpaka kieleweke.
Mungu Ibariki Tanzania
Kwani kuna nini?!
Elimu yako ni upotoshaji mkubwa, ndivyo waafrika tulivyo kazi yetu kung'ang'ana kwenye madaraka hata kama uwezo wetu ni mdogo ama tumevurunda mahali.Ni katika kuongeza uelewa na ufahamu wa mambo haya kwasababu Elimu haina mwisho wala mipaka..
kwani kuna tatizo gentleman?π
sijazungumzia waAfrica wala falsafa ya mtu aweaye yeyote..Elimu yako ni upotoshaji mkubwa, ndivyo waafrika tulivyo kazi yetu kung'ang'ana kwenye madaraka hata kama uwezo wetu ni mdogo ama tumevurunda mahali.
Kujiuzulu ni kuonyesha uwajibikaji, ina maana kwamba wewe umeshindwa au hukubaliani na mawazo/falsafa za aliyekupa hiyo nafasi, waachie nafasi wengine wafanye. Ndio maana leo mnamsifia raisi, ila akitoka madarakani mnaanza kumsema vibaya, hamkubaliani nae ila kutwa kumsifu ili mkono uende kinywani.
sio mbuzi wa kafara tu,wanatafutwa mbuzi wa kafara ili sakata liishe,
uzuri kariibia pazia la hekalu kuchanika vipande viwili ili litimie neno la mwl. J.k kwamba ufalme utafitinika baada ya chama kuwa na mgawanyiko ndani yake na wapinzani wa kweli kutokea humo humo ktk chama
Nchi ina watu 60+m, ukishindwa wanafanya wengine.sijazungumzia waAfrica wala falsafa ya mtu aweaye yeyote..
uwajibikaji ni kujizatiti kwa nguvu zote kukabiliana na changamoto mahususi, hususani zenye kuibua hisia kali na zenye shinikizo za kisiasa na chuki binafsi ndani yake. Kinyume na hapo ni kukimbia tatizo na kujisalimisha kwa pepo la uvivu na kukata tamaa π