Kujiuzulu kwa Manji je Vita ya Makonda dhidi ya wauza madawa inafanikiwa?

Mimi mwenyewe Yanga damu damu...kumbuka yanga ni timu ya chama ....usiweke utetezi wa Usimba na Uyanga kwenye uvunjwaji wa sheria.
Kumbuka tetesi za wafadhili wa Timu hizi mbili wametuhumiwa mara kadhaa kubeba ngada kupitia mipira na mabegi ya wachezaji....

Kumbuka zile ziara za brasil na uturuki...

Do not be DUNDERHEAD Think my friend
Yanga ni timu ya chama! Na Manji ni kwanachama wa ccm! Halafu miitwa wajinga mnalaumu, unataka kuingiza siasa kwenye vitu ambavyo wafuasi wake hawana hata chembe za hiyo siasa ya uccm. Sasa mkiitwa ccm ni wajinga na hamjitambui mnarukaruka. Manji si mlimpendekeza nyinyi awe diwani wenu na kuwaaminisha Wananchi wa Mbagala kuwa ndio chaguo sahihi na kibaya zaid mpaka Mh. Rais mlimdanganya akaja kumpigia kampeni kigogo wa mihadarati na kushinda.
Sasa huo uweledi wenu uko wapi? Kigogo wa madawa yupo zaid ya miaka 15 anaringa mtaani na kadi ya chama chenu halafu mjiite wa maana?
 
Hongera kwa Mh. Makonda

Jembe la Taifa

Mola amsimamie na Raisi wetu na viongozi wengine wanaoitakia mema nchi yetu.

Hapa kazi tu

Makonda oyeeeeeee
Hapo kazi tu ipi? Kwani makonda mbona stoo kwake kajaza Unga wote aliowakamata na sasa anauza unga wake South Africa na pesa zinatumwa na Zingine kaenda kuchukua Dialo baada ya kumpa nafasi ya kumuua Ruge star Tv , unga mwingine anapewa Le mutuz kwenda kuuza China huku magari ya wale watuhumiwa yakiendelea kumilikiwa na Daud Bashite
 
Eeeeeeeeh

Peleka uongo wako kumshtaki basi ukione cha mtema kuni, au umefungwa pingu miguuni!? Eeeh

Acha wivu

Mtanyooka tu
 
Manji ni mmoja wa waliotajwa na Makonda katika sakata la watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Mara baada ya kutajwa Manji alianzisha mtafaruku mkubwa ikiwa ni pamoja na kwenda na wafuasi kadhaa wa yanga kituo cha polisi,pia alionekana kwenda kifahari sana pale kituo cha polisi...lakini baadaye hatukumsikia akitamba kabisa hadi leo hii tunasikia akiiachia Yanga ambayo pengine ilikuwa ni maficho ya ubaya wake kuhusu ngada.

Je katika hili tumpongeze makonda kwa ushindi wa awali dhidi ya wauza madawa ya kulevya?
Duh hivi kumbe manji ana kesi ya kuuza madawa ya kulevya au ya kutumia madawa ya kulevya kma kina TID tu????

Dah ushabiki unaua nchi yetu...... ukintajia hata mmoja kwenye ile list ya 65 ambaye anakesi ya kuuza madawa na yuko ndani ntaamini kweli makonda alikuwa serious otherwise naona ilikuwa kiki ya kisiasa tu
 
Chako hata hewani huwezi kukionyesha na wengine wengi mnaolilia vyeti vyake.

Awaonyeshe ipo kwenye kipengele gani cha katiba!!!!!

Mtanyooka tu

Makonda oyeeeeeeee
Hivi we dada saangapi unafanya kazi mbona 24/7 upo online??? Huyo mme wako (If at all anaweza kuoa kila.za kma wewe) saangapi unamfulia nguo au kumpikia chakula???? Afu unasema hapa kazi tu huku umekamata smartphone toka asbuhi umekaa kibarazani unaskiliza taarabu :D:D
 
Mimi niko hapa Kinondoni ambako hao mateja walikuwa wanavuta hayo madawa hadharani, kwa sasa hawapo na ambao ninaonana nao na ambao walikuwa wanajihusisha na hayo madawa, wanakili kuwa ni wazi hali yao mbaya na ninashuhudia wakijishughulisha na shughuli halali. Ninakwambia haya kwa sababu hao watu ninao mtaani na mitaa ambayo ndiyo kitovu cha hayo madawa.
Nipo Temeke!

Taasisi ninayofanyia kazi ina taratibu ya kupeleka baadhi ya misaada kwenye sober houses za hapa TMK.

Last week kumepokewa barua kuwa tuchangie kwenye ujenzi wa vyumba zaidi vya kuweza Ku accommodate mateja wapya!
 
Anchofanya Manji ni tisha toto ili apate kuwatisha wavaa kandambili wakubali kuwa nyuma yake.
Manji amebanwa pande zote na hata hadhi yake imeshuka kwa kugundulika anatumia unga
Makonda anastahili pongezi na sifa,Manji alikuwa anaogopwa mpaka na mawaziri lakini kwa Makonda kaanguka
Kwa makonda kaanguka???? Kivp?? Kwani amefungwa jela ama?? Au kesi kubadilishwa kutoka muuza unga hadi mtumiaji ndio kaanguka kwa makonda??? Vp ile kesi ya immigration mikwara yote ile mmeishia wapi ???? Hahahhahhahhaa ccm bhana mmelindana mafisadi miaka mingi mkigombana na kugeukana eti ndio tuwaone mashujaa???? Ina maan miaka yote hamkujua manji ni fisadi au muza madawa??? Shame on u CCM
 
Hivi we dada saangapi unafanya kazi mbona 24/7 upo online??? Huyo mme wako (If at all anaweza kuoa kila.za kma wewe) saangapi unamfulia nguo au kumpikia chakula???? Afu unasema hapa kazi tu huku umekamata smartphone toka asbuhi umekaa kibarazani unaskiliza taarabu :D:D

Naona leo hauna hamu Snr wako anakumegeaga kiasi gani kweny anachopewa kupiga porojo kila mara!?

Eeeeeeeeh

Majina yao anayo woteeeeeeeeeeee, si umeshajua naongelea nini hata kama ukipindisha. Habari ndio hiyoooo bahasha za khaki eeeh

Ha ha ha haaaaa, eeeeeeeh mie natumia tochi eeeeeh....na wewe kaa kibarazani ajili watu pesa wakuletee ukiwa umekaaa.

Sawa kilaza wewe, CIAO.
 
Chako hata hewani huwezi kukionyesha na wengine wengi mnaolilia vyeti vyake.

Awaonyeshe ipo kwenye kipengele gani cha katiba!!!!!

Mtanyooka tu

Makonda oyeeeeeeee
We kichwani mtupu kabisa. Mimi cheti changu cha kuzaliwa kina jina langu mwenyewe. Vyeti vyangu vya shule vina majina yangu mwenyewe. Na sijawahi kudanganya nina degree, ambayo sina.

Kushangilia kama muuza bar ni haki yako, endelea kuimba bia hoyeeeee, lakini kumbuka Mungu hapendi unafiki.
 
Eeeeeeeeh

Peleka uongo wako kumshtaki basi ukione cha mtema kuni, au umefungwa pingu miguuni!? Eeeh

Acha wivu

Mtanyooka tu
Umeshasema kashitaki uone cha mtema kuni ina maana Daud Bashite yupo juu ya sheria hakuna wa kumgusa hapo wivu umetokea wapi? Kwani ni Siri hakuna asiyejua kuwa blackmail ya Bashite Daud ilizaa Rushwa akapora magari mali za wale aliowataja kwenye List huku dawa zao za Kulevya nyingi akizichukua na kwenda kuuza South Africa na china ambapo alimtuma Le mutuz, wewe endelea kukariri kuwa Makonda Bashite ni Mungu hana doa wala Dhambi huku wengine wanamuona ni mshirikina mla Rushwa na mtumia fursa kupora vya watu.
 
Anchofanya Manji ni tisha toto ili apate kuwatisha wavaa kandambili wakubali kuwa nyuma yake.
Manji amebanwa pande zote na hata hadhi yake imeshuka kwa kugundulika anatumia unga
Makonda anastahili pongezi na sifa,Manji alikuwa anaogopwa mpaka na mawaziri lakini kwa Makonda kaanguka
Vyeti vimepatikana?
 
Manji ni mmoja wa waliotajwa na Makonda katika sakata la watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Mara baada ya kutajwa Manji alianzisha mtafaruku mkubwa ikiwa ni pamoja na kwenda na wafuasi kadhaa wa yanga kituo cha polisi,pia alionekana kwenda kifahari sana pale kituo cha polisi...lakini baadaye hatukumsikia akitamba kabisa hadi leo hii tunasikia akiiachia Yanga ambayo pengine ilikuwa ni maficho ya ubaya wake kuhusu ngada.

Je katika hili tumpongeze makonda kwa ushindi wa awali dhidi ya wauza madawa ya kulevya?
Labda nikuulize unajua sababu ya manji kujiuzulu???
 
Manji hana tofauti na MO kwenye issue ya udhamini wa hizi timu mama hapa Tanzania, Sportspesa wamewadhamini simba na Yanga .

Mo alichukia na alipiga sana kelele kwenye media ila mwisho wa siku amemalizana na viongozi wa Simba na imekuwa rahisi sana kwake kwa sababu hakuwa mdhamini rasmi wa timu.

Ila ni tofauti kidogo na Manji yeye alikuwa mwenyekiti wa timu na QUALITY GROUP walikuwa ''font fod'' ya jezi za timu ya Yanga hivyo baada ya huu udhamini rasmi wa sportspesa,nembo ya au lile jina la QUALITY GROUP kwenye jezi za Yanga hazitaonekana tena badala yake tutaona jina mdhamini wa sasa ambaye ni SPORTPESA.
 
Manji ni mmoja wa waliotajwa na Makonda katika sakata la watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Mara baada ya kutajwa Manji alianzisha mtafaruku mkubwa ikiwa ni pamoja na kwenda na wafuasi kadhaa wa yanga kituo cha polisi,pia alionekana kwenda kifahari sana pale kituo cha polisi...lakini baadaye hatukumsikia akitamba kabisa hadi leo hii tunasikia akiiachia Yanga ambayo pengine ilikuwa ni maficho ya ubaya wake kuhusu ngada.

Je katika hili tumpongeze makonda kwa ushindi wa awali dhidi ya wauza madawa ya kulevya?
Kilichomwondoa Manji ni Sportpesa
 
Chako hata hewani huwezi kukionyesha na wengine wengi mnaolilia vyeti vyake.

Awaonyeshe ipo kwenye kipengele gani cha katiba!!!!!

Mtanyooka tu

Makonda oyeeeeeeee
Hakuna wa kunyooka utanyoooka wewe mtumwa wake kwani kukesha mkimtetea Bundi mwenye utitiri wa waganga wa kienyeji siku akiwachoka atawatumia hao hao waganga kuwaroga nyie, kama Bashite haogopi ni nini kinampeleka star tv? Wazee wa BAKWATA wanafanya nini kwake kila siku? wewe na boss wako Le mutuz watanzania wamedhamilia kuwatoa mishipa kwa Tabia zenu mbovu za kuutetea Uovu
 
Back
Top Bottom