Kujaa kwa watu uwanja wa Taifa asubuhi kunaashiria nini?

Mbona mnasema wafanye kazi za maendeleo, wasinywe pombe au wasifanye mikutano.
Hapo walipo wanazalisha au wanatumia....!!
 
Hawa watu ni manji amewanunua kwenda kushangilia mechi. Alafu wanaonekana
Wachovu wengine wameweka mikono nyuma! Sura zimekakamaa kama watu waliokata tamaa ya Maisha.

Tuwaombee!!
 
Ikumbukwe Tanzania si nchi ya ujamaa kila mtu anatumia akili yake kujipatia kipato kwahiyo si vema kuchunguza maisha yao hii ni kama huna msaada kwao
 
13557672_2067013130191506_8166565991433941919_n.jpg


*******

KWA MECHI ITAKAYOCHEZWA SAA ZA JIONI,WATANZANIA KUFURIKA ALFAJIRI NINI TAFSIRI YAKE,KATIKA TAIFA HILI LA VIWANDA.
 
Hawa watu ni manji amewanunua kwenda kushangilia mechi. Alafu wanaonekana
Wachovu wengine wameweka mikono nyuma! Sura zimekakamaa kama watu waliokata tamaa ya Maisha.

Tuwaombee!!

"Wanaonekana Wachovu"
Ila humu pia kuna live updates na kila tukiomba picha zinawekwa, UJINGA ni kushangaa uwanja kujaa asubuhi na huku wewe ukiwa eneo la tukio.
 
hii ndo tanzania usishangae sana ni nchi ambayo watu wk hawapo tayari kujadili mambo ya msingi ni nchi ambayo watu wanajadili zaidi mambo ya starehe na ushabiki wa mambo ya hovyo kuliko mambo ya maendeleo..
 
View attachment 360835 Wakuu naomba maelezo sahihi. Asubuhi ya Leo watu wamejaa uwanja was taifa.
Je, inamaana watu hao hawana ajira?Ifahamike kwamba Leo ni siku ya kazi.

Bar zilifungwa zisifanye kazi asubuhi, ina maana watu hawana kwa kwenda!!
Mikutano ya vyama vya siasa imekatazwa eti watu wafanye kazi, mbona wote hao hawana kazi?

Au pale taifa kuna ajira...!!!!
Naomba kuwasilisha
Tushafungua 'vijiwe' tumewaachia madogo wanadaka....!
 
Back
Top Bottom