stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,902
- 5,999
Serikali mpya ya Syria imeamua kuwatumia PIJ kikundi cha Kigaidi kilichokuwa kinafanya Shughuli zake nchini humo sasa, waende Iraq na Iran na huko walete laana
View: https://x.com/xumas_iq/status/1914553355235471450
Chanzo chake ni hivi
Wakati mapinduzi ya Syria yaanaza, Hamas na Wapalestina wengi walishirikiana na Waasi kumpindua Assad, Assad akaamua kuwatimua.
Hawa PIJ wakaamua kuwa Upande wa Assada, na kuua sana waarabu wengine, sasa wanalipa walichopanda.
Hawa watu wana laana sana