kuishi kwa fumbo huenda kukakusababishia matokeo fulani!

ha ha ha!!
kweli kbs lkn tutafanyaje wkt tupo kwenye fumbo..?
Unapewa ice cream tamu iliyofungwa kwenye kimfuko cha nylon halafu unaambiwa uilambe bila kufungua....mambo mengine yanatia hasira sana
 
Hili ni fumbo au ukweli!?
Kristu alifufuka. Imani inakuja baada ya kuacha kufikiria/kutumia akili. Ole wako utumie akili yako . Kitu kama kristu alifufuka, kristu alitembea juu ya maji yote hayo ni mafumbo.
Our beliefs are beyond our thinking/they are real and they are beyond our human minds
 
Back
Top Bottom