Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,138
- 26,089
Asubuhi hii nasikiliza taarifa ya habari, nasikia Zanzibar nako serikali ya huko imetangaza Bei Elekezi kwa sukari!
Nafika ofisini mapema n inabidi nijiulize kwa makini.
Nini maana ya bei elekezi?
Hii ni bei iliyopangwa na serikali baada ya kuondoa gharama zote za uzalishaji, na kuongeza kafaida kidogo kwa muuzaji.
Kwa mlaji anapata bei yenye unafuu ukilinganisha na mazingira ya upatikanaji wake, kwa sasa tueseme sukari.
Lakini Market Economy inasema pamoja na bei elekezi, sukari ikikosekana kwenye soko, matokeo immediate ni kupanda kwa bei. Hii ina maana hata yule mzalishaji, ambaye uzalishaji wake haukidhi demand ya soko, sukari inanunuliwa hata kabla haijafika sokoni.
Wachumi wanasema scarcity creates higher demand kwa commodity. Demand inaongeza bei ya hiyo bidhaa.
Hizi ndio principles za economics.
Sasa serikali yaweza kufanya nini?
Suala si kweka bei elekezi, huko ni kujidanganya.
Demand iko pale pale.
Tatizo kulitatua ni kufeed on the demand, ongeza uzalishaji au weka njia mbadala kukidhi demand, na kuondoa sscarcity.
Kuna mzee mmoja watu wana msahau, anaitwa Brown Ngwilulupi.
Mzee huyu likuwa General Manager wa Kampuni ya Sigara miaka ya 70.
kulikuwa na carcity kubwa ya sigara kwenye soko, hadi sigara inauzwa kwa puff(mvuto) mmoja mmoja!
Mzee Ngwilulupi kimya kimya alipata malighafi baada ya kushirikiana na serikali(wizara ya Viwanda).
Zikatengenezwa sigara nyingi na tofauti.
Siku tatu kabla ya kuziweka sokoni sigara zote mzee Ngwilulupi alitoa tamko ambalo wengine hawakulielewa vizuri.
Alisema I WILL FLOOD THE MARKET na kuingiza sigara nyingi sokoni, hivyo walanguzi waanchie sigara walizoficha kwenye magodown.
Kweli kama utani, sigara mara zikawa nyingi sana kwenye soko. Na wale(hasa wahindi) walioficha sigara kwa bei ya juu na walikuwa wakizi release kidogo kidogo kwa bei ya juu, wakajikuta wana mali kubwa waliyonunua kwa bei kubwa, ambayo sasa bei ni nusu tu ya waliyonunulia.
FLOODING THE MARKET-The Ngwilulupi Principle!
Serikali imelisahau hili somo?
Tunaye Waziri wa fedha ambaye anajigamba kuwa Dokt wa Uchumi, mbona hatuzioni cheche!
UPDATE
Bei elekezi Zanzibar yashindikana.
Market economy na principles zake at work.