barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,377
- 29,738
Hapo kwenye bold sijapapenda, kumbuka hilo halina mwenyewe cause hata wewe watoto wako wanaweza kujikuta wamekua YATIMA mwamuzi akiamua so watch out your words, mungu sio Athumani hata hao watoto uliowatolea mfano hawakuomba, iliwatokea tu.Teh Teh kuna siku ulisema una subiri amtumbue aliye mteua na hili likipita utasema tena...
BAWACHA mmeshakuwa kama watoto Yatima ni kulialia tuu.
ngoja wachunguzwe kwanza, utasikia IGP wa TZ kasweka rumande hapoHivi wakisimamishwa bila uchunguzi wewe si utakuja hapa kuanza kusema kuwa wanaonewa? Hivi mmejisahau huwa mnasema serikali ina kurupuka? Leo hii mnataka watu wasimanishwe kazi hata niki kuuliza nani asimamishwe na kwasababu gani hujui!
Kwanini mnakuwa na vichwa vya panzi? Hivi ulimsikia mwenye kiti wa PAC jana?
L
Iigumi ni lingumu sio mchezo....
Magufuli majipu mabaya katikati ya makalio hayawezi anaweza vijipu uchungu vya usoni habari za Dau siwalikuwa wanafanya wote Magufuli akiwa ujenzi nani alisaini mikataba ya miradi kama ya Daraja la Kigamboni kwa niaba ya serikali si ni Magufuli yeye hawezi kujitumbuwa uchunguzi gani wakati wengine anawaweka ndani huku uchunguzi ukiendeleaUnaweza tueleza hapa huo mkataba ulisainiwa lini? je unfahamu uchunguzi unaoendelea umefikia wapi?
Unalinganisha la mama Kilango unasahau mama Kilango JPM kabla ya kuchukua hatua alituma vijana wake kuthibitisha juu ya ukweli wa kutokuwepo kwa watumishi hewa? au unajifanya hufuatilii kwa kina maeneo yote aliyochukua hatua alifanya hivyo baada ya kujiridhisha na taarifa za kiuchunguzi?
Kama unabisha kwanini husemi kuhusu Dr DAU pamoja na tuhuma zote kwanini hajafikishwa mahakamani?
Jiongeze sana kabla ya kuleta hoja. TATIZO NI CHUKI ZAKO DHIDI YA JPM hilo liko wazi tu wala haishangazwi
Ndio nyie mnaoponda hatua zinazochukiwa za kuwawajibisha watendaji wa serikali wanaotumia vibaya ofisi zao
Lakini haishangazi kwani AGENDA zenu zishajulikana vizuri
Jipangeni upya
wewee ishu ni LUGUMI tuu haponi mtu hapa. Period!!
Kwani suala la mama kilango na lugumi limeanza lipi ?JAMANI KWA MAMA KILANGO MMELALAMIKA KUWA HAJATENDA HAKI KWANI HAKUPEWA NAFASI YA KUSIKILIZA.SASA AMETULIA AONE WIZARA NA BUNGE WATAFIKA WAPI ILI ASILALAMIKIWE KUWA HAKUTOA MUDA WA KUTOSHA BADO MNALALAMIKA. HUU UJINGA SASA
Ubarikiwe sana mkuu.Magufuli majipu mabaya katikati ya makalio hayawezi anaweza vijipu uchungu vya usoni habari za Dau siwalikuwa wanafanya wote Magufuli akiwa ujenzi nani alisaini mikataba ya miradi kama ya Daraja la Kigamboni kwa niaba ya serikali si ni Magufuli yeye hawezi kujitumbuwa uchunguzi gani wakati wengine anawaweka ndani huku uchunguzi ukiendelea
Kama angekosa msiri wake Kitwanga kuwa wizara ya mambo ya ndani sasa hivi angeitisha vyombo vyote mpaka vya nje wamuone anavyotoa utani wa kutumbuwa waziri IGP na huyo jamaa wa nyumba 40
sijaona hata raia unaosema wanamkubali magufli namba zake za kukubalika zimeshuka sana baada ya kuchagua mabishoo wapiga dili kama akina Muhongo Mwigulu January Makamba Nape, Jenestina Mhagama and so fourth kwa kweli hana nyimbo wamebaki wapiga mapambio tuUtapita upepo, litakuja tukio lingine. Jua kwamba ukimpinga Magufuli huku uraiani ni sawa na uhaini kwa raia, wanaweza wakakupiga mawe.
Endelea kukaza buti ukisubiri matukio.
Hii ishu ya LUGUMI umeiweka ukiongozwa na chuki dhidi ya JPM.
JPM ni chaguo la Mungu na pia Mungu kaamua kutuletea Sokoine ndani ya Magu.
Mnakuwa na akili fupi kama nukta, juzi ya Kilango mmepiga kelele hajatendewa haki ilhali 'Sokoine 2' alisema alituma timu yake ya uchunguzi na kuridhika, sasa hii mmaanza kukurupuka tena, unajua kinachoendelea nyuma ya pazia au bado una hasira za bosi wako kukosa kiti cha ikulu?
Dude, kubali matokeo, chuki yako itakumaliza. Una miaka kumi ya kuandika utumbo hapa JF kila siku na miaka kumi ya chuki yako kukumaliza zaidi.
Asante sana kwa swali lako. Wenye akili tu ndio wataling'amua.Kwani suala la mama kilango na lugumi limeanza lipi ?
Ww jamaa unachuki za kichawi sio bureKwani wakati tunakosoa utawala wa JK ulikuwa unaona tuna hoja?Kuna watu wa ajabu kama nyinyi?!
Jamaa unahangaika kweli ..uwe unalala wewe stakabadhi ya mshahara, magufuli humuwezi ndugu yangu.Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatika malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.
Tumeaminishwa haangali sura,hana chama,anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.
Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidi wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.
Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea.
NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.
Tusubiri.
Hata huyo Sokoine hakufanya kazi ya kunyang'anya wahalifu kutoka katika mamlaka nyingine za uchunguzi.Kwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!
Ipo kwny ile Kamati ya Bunge iliyonyimwa mkataba wenyewe? Au kuna Kamati nyingine tuisubirie?JPM and his company hawakurupuki, issue bado ipo kwa Kamati ya Bunge, and kwa taarifa yako huwa anachunguza kwanza kabla ya kuamua, give him time.