barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,377
- 29,738
Utapita upepo, litakuja tukio lingine. Jua kwamba ukimpinga Magufuli huku uraiani ni sawa na uhaini kwa raia, wanaweza wakakupiga mawe.
Endelea kukaza buti ukisubiri matukio.
Hii ishu ya LUGUMI umeiweka ukiongozwa na chuki dhidi ya JPM.
JPM ni chaguo la Mungu na pia Mungu kaamua kutuletea Sokoine ndani ya Magu.
Mnakuwa na akili fupi kama nukta, juzi ya Kilango mmepiga kelele hajatendewa haki ilhali 'Sokoine 2' alisema alituma timu yake ya uchunguzi na kuridhika, sasa hii mmaanza kukurupuka tena, unajua kinachoendelea nyuma ya pazia au bado una hasira za bosi wako kukosa kiti cha ikulu?
Dude, kubali matokeo, chuki yako itakumaliza. Una miaka kumi ya kuandika utumbo hapa JF kila siku na miaka kumi ya chuki yako kukumaliza zaidi.