Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
2,560
3,978
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusiliwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Wakati mkiendelea kulaumu mkumbuke wengine walio omba hizo nafasi wengine wana ajira kabisa katika hao laki mbili.
 
Tulipofika Sio Mahali pa kuitegenea serikali ikufanyie maajabu kwa kile ulichosomea.

Wapo wengi walioamua kabla ya kumalizana kusoma kuwa hawataenda kusimama kwenye foleni isiyotembea.

Kapige kazi Jomba.
Nina ajira tayari. Soma nilichoandika. Nimesema thanks to Mama nowa niko serikalini
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
JK a worse President ever.Ipo siku nitakuja na Kisa changu kilichonikea kipindi cha JK..
Ila Sitoacha kumsifia Kwa Mema Magufuli na Samia
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Hata siyo JPM ni mfumo mbovu, kuna taasisi nyingi sn zinafanya kazi za kufanana mfano TARURA na TANROAD, TBA na TEMESA, Mamlaka za maji mijini na RUWASA, TANAPA na Ngorogoro, RITA/Uhamiaji/NIDA hivi zina wakuu wa taasisi/wakuu wa idara na wanalipwa fedha nyingi sn, hapo nje na gharama za uendeshaji wa ofisi, kifupi tuna mambo ya kijinga sn hatuna vipaumbele hata kidogo. Kuna teuzi na tenguzi za hovyo kabisa zinakula hela nyingi sn
 
Nilichoandika kinakuhusu ulie ndani na aliye nje.
Ni wewe kuamua kuwa tegemezi kwa Mfumo au kuishi nao na kutokuwa sehemu ya Mfumo.
Kikubwa komaa na wewe ukoe nafsi zinazo angamia .
Issue ni kwamba tusifanye kosa iena kuweka machizi mamlakani mana hii nchi kidogo itumbukie shimoni
 
Back
Top Bottom