Soweto ni mjini ulioko S.Africa, na umebeba historian ndefu sana ya ubaguzi wa rangi nchini humo. Kuna nyumba ambazo aliishi Madiba na Desmond Tutu katika mtaa mmoja wa Vilakazi, na karibu nao ndio yalipoanzia Yale maandamano ya wanafunzi kupinga ubaguzi na kusababisha kuuwawa kwao (movie ya Sarafina ni true story ya Soweto).
Kama ulivyoshauriwa, google ujisomee zaidi.