Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Mungu alikuwa busy kusikiliza wengine, sasa amegeukia mafaili yetu.. Hivi mnajua athar za illegal migrants? Mnajua kias gani vijana hawana ajira wakati wengine wanaingia na wanafanya kaz bila kuwa na kibali?
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Kutaja na kuwepo kwa ulichotaja ni vitu viwili tofauti kabisa, people are complaining the approach which is unconstitutional, mara madawa ya kulevya hamjampata, mnakimbilia uhamiaji na kusema na kulazimisha kuwa mwajiri kitu ambacho siyo kweli. Manji ni mtanzania mwekezaji to much police force, with lot of pampus, hii si sawa kinachoonekana hapa ni utekelezaji wa story za vijiweni 'kwamba huyu jamaa ni fisadi sana' no proof, keshokutwa kwako
 
Wasikuuumize kichwa bro,hawa wa mitandaoni hata robo ya watanzania hawajafikia! Halafu wengi ni walewale tu....
 
Sasa leo unamshika eti kwa madawa ya kulevya unadhani utapata ushahidi wa kumuhusisha?
Mods naomba ID yangu iheshimiwe na kulindwa. Manji na Gwajima mtakumbuka walifika kituoni siku moja na kulala wote chumba kimoja (SHIMONI), baada ya kwenda kwa mkemia ,kuu wa serikali Gwajima alliruhusiwa na kurudi kwenye makazi yake. Watu hawajiulizi kwanini Manji mpaka leo anashikiliwa na jeshi la polisi ila tu kutoa lawama kwamba anaonewa.
Issue ni kwamba Baada ya kwenda kwa mkemia Manji alionekana na kiwango kikubwa cha madawa ya kulevya na hivyo kulazimika kubaki na kusaidia upande wa jamuhuri ni wapi anapopata na hapo ndipo presha ilipoanzia.
oVa
 
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Ungekuwa unaweka takwimu pengine hoja yako ingekuwa na nguvu. Ukisema 'wote' au 'kila mtu' etc, ulifanya wapi utafiti? Wote wangapi? Takwimu zimetoka wapi?
 
Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
Haya unayoyaandika hapa unaweza kwenda kuyatolea ushahidi mahakamani?
 
Tatizo hayo yote uliyoyataja sio yale yanayomsumbua sasa.

Huko kwingine wanahusika wengi hata mtakatifu naamin yupo.

Ila wamemtafutia zengwe zingine ambazo wanaishia kuangukia pua tu.
Yale ni makaburi ambayo Magufuli alisema yakifukuliwa yatashindwa kufukika. Sasa Manji alitakiwa kusoma alama za nyakati.. Pamoja na mikwara yote ya serikali bado unaajiri watu kwa business visa? Huo utumbo uliwezekana kipindi cha mkwere tuu, Mkuu wa sasa kaa nae mbali
 
Waliobadilika ni Watanzania wachache ambao wameanza kampeni za Urais 2020. Kwao kila kinachofanywa na serikali ya JPM lazima kipingwe kwa nguvu zote
Mi ntapinga vingine ila si la bwana Manji kwa kweli nisiwe mnafki though JPM hanivutii
 
601781280356bb68aefc367b8ce4780d.jpg
d9a19ff2d9bc6e4256c751bf1ada2ad9.jpg
 
Back
Top Bottom