Kuhusu kuombwa hela ya kusukia nywele

Wakuu sijui kwanini niko hivyo, mwanamke akiniomba hela sijui ya kusukia huwa namuona kama mtu mwenye ufikiri mdogo na naweza nikampotezea mazima!

Yaani katika mambo yote ya msingi na changamoto kibao zilizopo, mtu anakaa huko eti naomba hela nikasuke. Kwangu mwanamke bora aombe tu hela asiseme anaenda kufanya nini, kama mtu anashindwa kuafford kusuka nywele kwanini asizinyoe tu?

Kiukweli mimi sijawahi mpa mwanamke hela ya namna hiyo, sijui kama ni complications zangu tu..ila huwa naona ni issue ambayo ni minor sana!
Wewe nawe ni bahili tu huna lolote.......
 
Pengine inawezekana. .sasa naachaje huu unaoitwa ubahiri?
Kwa kua ubahili ni nature yako sizan kama unaweza kuuacha bt jitahidi tu hvohvo akikuomba mpe ....usipompa kuna wenzio watampa mwisho wa siku itakula kwako
 
usipomhudumia wewe nani atamhudumia. watu wananunua hadi PED na maisha yanaenda. sembuse hela ya kusuka. mwanaume mwingine ,anakupa mwenyewe. Baby nyele hizo kabadilishe.
ila inategemea ntunantu.
eeeeh.ntu na ntu
 
Wanyoe tu, mi manzi wangu hanaga swagg za mawigi wala kusuka, huwa nampa khaki tu tenga bese ananyoa io change voucher tunabonga na kuchat.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom