boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,221
- 4,687
Tanroad hiko hoi sana na Tarura Wakandarasi wa ndani wana njaa kali sana. Tunaitaji kuwaombea kwa Mungu Viongozi wabadilike wawe waungwanaSisi Mali zetu tunagawa kwa wakoloni
Ukienda kule Shinyangq kwenye Migodi Utakuta kwa sasa ni maeneo mengi ni mashimo tu , jamaa walimaliza maeneo yote yenye madini na kutuachia mashimo
Tumefikia hatua ya kuuza mali zetu hadi kwa waarabu na wahindi. Hivi Muarabu ni lini amekuwa na akili….. nchi zao wenyewe tu wameshindwa kuzisimamia, leo Muarabu awe investor kwenye big project kama za bandari
Tunahitaji watu Kama Ibrahim Traore otherwise Tanzania chin ya CCM hatutoboi
Ukichunguza vema hatuna haja za kukopa sio Muhimu
Imagine mavitu kama Royal Tour yanasaidia nini, kama ku tangaza Utalii si tunayo Wizara ya Utaliii….. inq maana imekosa mikakati kama Wizara hadi Rais atumie Government Fund Billions kufanya Hiyo kitu ? Huku ni kukosa malengo
Ukiangalia maisha ya viongozi na V8 yao ni billions of money zinatumika
Mshahqra wa Rais na Benefits zake kwa mwaka tu Billions, kulipa marais wastaafu na wake zao ni billions , bado mawaziri na viongozi wengine, hizo zote we can cut cost na kuwekeza kwetu , tupunguze matumizi na mishahara ya mindless people
Kila siku Nchi inakopa
Kwa sasa wapo kwenye Utapeli wa PPP ambayo haifuati sheeria za Umma
expression of interest zinafanyika Dubai
Tungekuwa na watu makini, kwa mali za Tanganyika tu hatuitaji mikopo mikubwa
Inafikia hatua watu wananunua magoli for political fame huku nchi haina maji tu …..kwa watu wa vijijini
Mambo ya Hovyo