Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,390
- 7,469
Kwa taarifa zisizo RASMI( unpublished data) ni kwamba Dr Mpango amekuwa haridhishwi na namna nchi inavyopelekwa kwa sasa hasa kwenye uwekezaji wa resources .
Kwa mfano, uwekezaji wa DP world Tangu ile Safari ya Dubai, Dr Mpango alikuwa against na process nzima, resources za nchi zinaenda kuamuliwa kwenye expensive hotels na restaurants kwa watu ambao hawakuwa na good reputation. Hata kipindi cha mjadala, Dr Mpango hakuwahi hata siku moja kucomment anything about DP world maana alijua ni . HASARA nyingine kwa taifa. DP world ni another SCAM , wake up !!!!!!
Aidha, Ishu ya Adani group inayopigiwa debe na kafulila kwa sasa, nyuma ya huyo Muhindi kuna Big Dogs tayari wapo set up.. mchakato mzima Mpango anaujua na una interest za nani ... na wala sio interest za nchi…. Dili la Adani tayari lina pre contract kama ilivyokuwa DP world haya mambo yote ni chukizo kwa Dr kwakuwa zinalenga kunufaisha wachache na sio Watanzania
The Royal Tour ni another SCAM na matumizi mabaya ya fedha za Umma unnecessary, return ya Royal tour was worthless against expenditure , matumizi ya namna hii Mpango amekuwa kinyume nayo na mara nyingi amekuwa kama ameisusia kwenye ukimya wake …he is not satisfied hivyo amekataa kuwa sehemu ya udhalimu wa mali za Umma…….. Ikumbukwe Jamaa alikuwa Waziri wa Fedha enzi ya JPM .... anajua vema pato la taifa.
Kuna huyo anaitwa Katibu Binafsi wa Rais , anapiga pesa za nchi vibaya sana ….. Huyu ndio Msiri wa Boss na Mipango mingi… pia, skendo za Abdul na Ufisadi ni sure thing ....MSIKILIZENI LISSU VEMA. Abdul sio mtumishi wa Umma lakini anamaamuzi kwenye nchi...Dr anakaa kando kwa kuchukia kwa kuwa hawezi kufanya lolote.
Ufisadi UMERUDI kwa kasi…..
Ni wakati sasa wa Kuanza kumuelewa Job ndugu I, Miradi yote mikubwa yenye kichwa cha expression of interest na blah blah za kafulila za PPP..... ogopa sana ... nyuma yake kuna wahuni wanasukuma KETE vizuri sana huku wanakula tende na halua pembeni kuna kahawa nyeusi.
Tumepoteza Jembe ndani ya Serikali anaeweza kuchukizwa na UDHALIM NA UFISADI.......Dr Mpango (67).
Dr. Megalodon Mushy,PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Soma Pia: Dr. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo