Kuhusu Afya yangu Deogratius Kisandu

Umejuaje kama akili yako iko safi?? Na kwanini unalaumu maadui badala ya kufanyia kazi maneno yao, labda unaweza kupata la kukufaa maishani mwako?? Jitafakari vema.
 
KUHUSU AFYA YANGU Deogratius Kisandu.

1. Mimi sina UKIMWI hata chembe, na wala sijawahi kuwa na VVU, utajibeba wewe usiye jali afya yako. Utakufa na UKIMWI mwenyewe, utashangaa Deo anadunda tu.

2. Akili yangu iko safi kabisa haina chembe ya kuathirika kisaikolojia, ni mbwembwe tu za maadui.

3. Magonjwa ya zinaa sina Niko poa kabisa, utakoma wewe usiye jali afya yako.

4. Damu yangu ni Salama, Moyo wangu uko salama, Ini langu liko salama, Masikio na Macho yangu yako salama kabisa, sina matege, sina chongo, ulimi wangu uko safi, Manpower zimejaa tele, utajibeba wewe usiye jali afya yako.

5. Nina miaka takribani 2 sijakanyaga hospitali maana afya yangu iko FIT kila idara, utajibeba wewe kila siku hospitali.

6. Hunikatishi tamaa kwa kauli za kijinga na upotoshaji, nenda kapime afya yako.

7. Usikubali kurudiana na Mpenzi wako wa zamani maana huenda kaukwaa huko halafu akakusogezea wewe. Kuwa mjanja kama mteja wa maparachichi. Mapenzi sio sheria mpaka ule matapishi.

Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom